Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #61
Ndiyo mapenzi hayo, often huwa hayatoi warning!It caught me without my awareness,for real!I don't even know exactly what & how it happened!Nampenda tu.
Ndiyo mapenzi hayo, often huwa hayatoi warning!It caught me without my awareness,for real!I don't even know exactly what & how it happened!Nampenda tu.
Nilidhani mimi ni shujaa kumbe nina mtego wangu unanisubiri ninase.Pale hajawahi kutokea mjanja kama ambavyo pombe haina bingwa.Ndiyo mapenzi hayo, often huwa hayatoi warning!
Everything Kwa MwanamkeNjoo uniambie nini huwa kinakutamanisha mpare wetu!
Siyo makande na samaki?Everything Kwa Mwanamke
C mada inahusu mapenzi 😎Siyo makande na samaki?
Upo mulemule na hautoki hata kwa reki.C mada inahusu mapenzi 😎
Naam 😂Upo mulemule na hautoki hata kwa reki.
Rangi na urefu tutatumia vyangu bro, ye awe na hela tuMama la mama umenyooka 🤣 🤣
Urefu na rangi vipi?
Ila, mapenzi ni noma.Matamu kama chokleti eklea.Au kinywaji cha Powerade.Laini kama Rexona.Naam 😂
Kwahiyi wewe huchagui wala hubagui 🤣Everything Kwa Mwanamke
Cjaumba mtu, hvy sichaguiKwahiyi wewe huchagui wala hubagui 🤣
Hiyo ni instinctual kama tu vile mwanamke akiona kifua, au physique ya mwanaume
Kumbe ushamshtukia, huyu itakua kuna mahali kaharibuhata mi Nimemwambia malaya huyu!😏
Mapenzi n ufwala 😂Ila, mapenzi ni noma.Matamu kama chokleti eklea.Au kinywaji cha Powerade.Laini kama Rexona.
Binafsi mpaka umri huu sijawahi kuona physique ya mwanaume yoyote nikaitamani. Au nina shida mahali?Hiyo ni instinctual kama tu vile mwanamke akiona kifua, au physique ya mwanaume
Tawile mganga.🫸🫷😛Mapenzi n ufwala 😂
Nayapenda kwa kuya yanaongeza libido
Mimi huku nakutamani
- Nini huwa kinakufanya umtamani mwanamke au mwanaume kimapenzi au kimwili ?
- Nimeona mijadala mingi humu kuhusu kukosa uaminifu kwenye mahusiano huku watu wakisema “huwezi kula chakula kile kile kila siku” hivi inakuwaje mtu unatamani chakula ambacho hujui ladha yake? kiini cha matamanio yako hapo kinakua ni nini?
View attachment 3610533
- Wenzangu tunaovutiwa na uwezo wa mtu kiakili au kuwa na connection ya kihisia kwanza (sapiosexual / demisexual) na si kimuonekano, nini ambacho mpenzi au mwenza wako alisema au alifanya kikavutia ukataka kuwa naye?
Alamsiki!
Ngoja ni-google!Binafsi mpaka umri huu sijawahi kuona physique ya mwanaume yoyote nikaitamani. Au nina shida mahali?