Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #361
Wewe pokea atakayekuja, mbona masharti mengi hivi?Yaani tu awe mwanamke attractive ajazilie mnyama kinamna flani, awe na macho flani hivii, awe ana sauti ya kudeeka yaani it's too much haziishi
Hapa unajaribu kunichimba mkwara au what are you trying to do 🤔?Fanya Kweli lasivyo utakuwa muhanga ww mwenyewe😅