Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Vipo kedekede
Anza kutaja, kuna kitu nataka kuona!
Understand The Good Doctor GIF by ABC Network.gif
 
Hebu malizia story bwana, sasa kuishia njiani hivyo ndiyo nini?
View attachment 3610568
Nilikuwa zangu mwenge nikasema ngoja niende kimara kutembea roho ikaniambia umetembea baa nyingi mbezi unaonaje ukapita baa hii ambayo ipo hapa kona nikasema enewei ngoja niingie hapa ile naingia dah nikakutana na kitoto cheupee nikamuita huyu hapa mezani mama umekula sijala aaaah agiza kuku choma bili nalipa mimi kitoto nikakatia laki moja nikachukua no za simu afu kitoto sio kibongo kinaonekana kinatoka yale maeneo anayotoka mama abel dah hizi bahati 😁😃😃 enewei sijui nioe mke wa pili😁😃
 
Nah, kwa hiyo unataka kunkambia hauna visual excitement? Yaani nikiona my type, huwa nakuwa stimulated on the go
Sina, najaribu kufikiria kama kuna kitu cha muonekano nikiona kwa mwanaume navutiwa, but natoka tupu, hakuna.
Even if they are dumb, unamkula ana kuwa side chick.
Haiwezekani, nishawahi kwenda naye kwenye date kadhaa na kijana akawa anaongelea sneakers / viatu mwanzo mwisho. Kila nikibadili topic tujaribu politics, technology, science, uchumi - inashindikana, anarudi tu kwenye Air jordans sijui za mwaka gani.

Siku ya kwanza nilifikiri ni nervousness, ila date ya pili ilivyoendelea kuongelea viatu, hiyo turn off niliyokuwa nayo hakuna kitu ambacho kingeweza kunifanya nitake kuliwa naye au niingiwe na matamanio yoyote ya kimwili.
Sasa wewe mwenzangu! Kwanza it takes so much time, na kwa sisi wanaume kama una hiyo, unaweza kufa na depression.
Kwani tuna haraka ya kwenda wapi 🤣 🤣 ?
Kwendraa, I can smell you're that sugar mmy living her dreams, that jigijigi becomes a pleasure🤣
Sugar mammy tena, siwezi kuhudumia an adult, hiyo nayo ni turn off kwangu 🤣🤣 tunaweza kusaidiana kwenye shida ila kama mwanaume ni tegemezi, basi sexual appeal kwangu haiwezi kuwepo 🤣
Basi, you're that kinda girl uliye watesa saana boy walio crushe kwako.
Kwenye hili hakuna namna ambayo nitajibu itakubalika mbele ya kadamnasi so nita🤐🤐🤐
Mimi celebrity crush hata awe na skendo kias gani akija namkula na siwazii, ili radii ile burning desire iwe fulfilled
love and hip hop GIF by VH1 (1).gif

Nimekosa cha kusema kuhusu hiyo sentensi yako ya mwisho 😩🫠
 
Binafsi huvutiwa sana na wanawake walionizidi umri 7-10 yrs siyo mbaya ila siyo vyuma chakavu kiukweli kuna jinsi hata tukiwa kwa bedi ninapata msisimko wa ajabu mno naweza piga raundi 4 hadi 5 kwa usiku huo.
Wewe mtu wa pili nimeona anasema anapenda wanawake waliomzidi umri.
Maana wanajua mapenzi sana tofauti na hivi viomba chipsi havijui kitu
Labda wanajua sababu wana experience, sasa hao vijana wenzenu msipopata nao experience, mkajifunza pamoja, nani atawafundisha nao wajue mapenzi?
 
Wewe mtu wa pili nimeona anasema anapenda wanawake waliomzidi umri.

Labda wanajua sababu wana experience, sasa hao vijana wenzenu msipopata nao experience, mkajifunza pamoja, nani atawafundisha nao wajue mapenzi?
Mambo ni mengi saivi kwanza vitoto vyenyewe ni pasua kichwa ukijifanya kuvielekeza vitakuona mvaa jeje tu
 
Sina, najaribu kufikiria kama kuna kitu cha muonekano nikiona kwa mwanaume navutiwa, but natoka tupu, hakuna.
It's like kuwa na pet? Au tuseme hauna kupenda kitu visually like art, nature... Ila sio platonic inakuwa sexual desire, na kwa wewe ambae mpk mtu aanze kuku fantasize mentally Kweli shughuli ipoo
 
Haiwezekani, nishawahi kwenda naye kwenye date kadhaa na kijana akawa anaongelea sneakers / viatu mwanzo mwisho. Kila nikibadili topic tujaribu politics, technology, science, uchumi - inashindikana, anarudi tu kwenye Air jordans sijui za mwaka gani.

Siku ya kwanza nilifikiri ni nervousness, ila date ya pili ilivyoendelea kuongelea viatu, hiyo turn off niliyokuwa nayo hakuna kitu ambacho kingeweza kunifanya nitake kuliwa nawe au niingiwe na matamanio yoyote ya kimwili.
Tuanzie hapo, nani aliye mtafuta mwenzie?

initial attraction

Inaonekana maybe alikuwa nervous? Mtu akae anaongelea viatu in a date? For sure that's crazy. Ila ukute hata kijana hakuwa na shida ni wewe tu ulimweka kwenye level kubwa na sadly akashindwa ku meet expectations.

Kwani tuna haraka ya kwenda wapi 🤣 🤣 ?
Kwani ukiwa turned on... Inakuaje? Sisi wa primary attraction mwili una kuwa activated, goosebumps, na burning desire kwa harakaa

Sugar mammy tena, siwezi kuhudumia an adult, hiyo nayo ni turn off kwangu 🤣🤣 tunaweza kusaidiana kwenye shida ila kama mwanaume ni tegemezi, basi sexual appeal kwangu haiwezi kuwepo 🤣
😂😂 A good defence there, Umepangua kama Kipa wa cape Verde

Kwenye hili hakuna namna ambayo nitajibu itakubalika mbele ya kadamnasi so nita🤐🤐🤐
So nimepiga kwenye mshooni😑
Nimekosa cha kusema kuhusu hiyo sentensi yako ya mwisho 😩🫠
20260423_232537.jpg
 
Wana vichaa vya mapenzi tu, sihusiki kwa namna yoyote ile😅
Kuna kitu kwenye human attraction kina itwa absence wewe Seran umeimasta vizuri saana hii. So unakuta kijana wa watu huko ume mhype, katengeneza mental picture kuku husu, alaf mwishoni unaanza kuplay hard to get.. Hapo lazima awehuke tuu😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom