Nimeuliza tu 😁Wewe unataka majimama tena?
Nimeuliza tu 😁Wewe unataka majimama tena?
Si ungekubali tu? Huwezi jua labda anataka akuagizie limoja kutoka Nsumbiji uhangaike nalo!?Nimeuliza tu 😁
Akiwa anakula ganja au shisha imekaaje?Napenda mwanamke mwenye
1: Akili mingi, isiwe ya darasani yaani awe natural genius. Ani challenge maana nakuwa bored rahisi na mtu wa kawaida
2: awe anajua romance.
Hapo lazima ni date tuu,
Ndiyo maana kuna mambo ya kitoto toto sana humu, kuna nyuzi nimeona mwandishi kasema yuko form 5, nikachoka!Mambo ni mob! Kuna wanafunzi wamefunga shule wana funo balaa! Nyuzi 50 kwa siku!
Naona uko naye sambambaNmemuona mshenzi huyu! Nishamwambia atajificha snaa ila ni rahisi kumnasa!
We are here to eat and reproduce so haiko overrated ndo maisha yenyeweSex is overrated
Keshakosa bahati huyo 🤣 🤣Si ungekubali tu? Huwezi jua labda anataka akuagizie limoja kutoka Nsumbiji uhangaike nalo!?
Fresh tuu ila itakuwa kama side chickAkiwa anakula ganja au shisha imekaaje?
View attachment 3610579
Ukishindiwa kuwabalance hawa huna bahati..
Lete vigezo unavyotamani 🤭Mm nipeni binti mmoja huko tumalize utata binti wazamani
Yanakuwaga mababe hayo balaa.Nilijichanganya kwa mmoja nilijuta.Fresh tuu ila itakuwa kama side chick
Ilikuwaje 🤣Yanakuwaga mababe hayo balaa.Nilijichanganya kwa mmoja nilijuta.
Hapana, nimetolea mfano physique ila kiungo chochote wengine mpk ndevu, wengine hair style, wengine mijegeje it's wideBinafsi mpaka umri huu sijawahi kuona physique ya mwanaume yoyote nikaitamani. Au nina shida mahali?
Mkuu Kuna more feminine women wanavuta Sema labda huyoo wa uswaziiYanakuwaga mababe hayo balaa.Nilijichanganya kwa mmoja nilijuta.
Hivi ni nini mwisho wetu, je kuna mahali mtu unafika unatosheka kabisa either kimahusiano au hata kiuchumi. Au mzigo wetu hapa duniani ni ile hali ya kukimbiza kile tunachohisi ni bora bila kikomo?Ada ya mja ni tamaa.
Mwanadamu hatakaa apate utulivu kwa sababu kila siku hutaka vionjo vipya, akiisha kupata hiki hutamani kike , akisha kipata kile hutamani tena kurudia hiki.
Mwisho wa hayo ni kuuwa ego. Ila kama ujuavyo life becomes soo boring.Hivi ni nini mwisho wetu, je kuna mahali mtu unafika unatosheka kabisa either kimahusiano au hata kiuchumi. Au mzigo wetu hapa duniani ni ile hali ya kukimbiza kile tunachohisi ni bora bila kikomo?
Kila ukikohoa au kila ukiiomba?Ila ukweli ukipata anaekupa kila ukikohoaa unaenjoy hata stress hupati kabsaa
Kichwa gani?Haa naachaje kukapenda ,maan nikifika hio hali huwa kichwa kinachavuka chavuka kabsa
Acha tu na mara nyingine unajikuta umedondokea usipotarajia.Nilidhani mimi ni shujaa kumbe nina mtego wangu unanisubiri ninase.Pale hajawahi kutokea mjanja kama ambavyo pombe haina bingwa.