Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Kwa muonekano napenda mwanaume anaevaa vizuri smart

Wale wa ma chen chen noo

Asiwe kijana sana yaan awe 35 kwenda juu naamini walau akili imekomaa

Awe ananukia vizuri
Mwanaume anaenukia akinikumbatia nafika kibo hapo hapo

Awe akiongea anaonekana yupo timamu sitaki kilaza

Hayo yote ni enzi za uhai wangu😅😅
Binti wa zamani
 
Tuanzie hapo, nani aliye mtafuta mwenzie?
Yeye alinitafuta
initial attraction

Inaonekana maybe alikuwa nervous? Mtu akae anaongelea viatu in a date? For sure that's crazy.

I would say "shallow" but crazy could fit too.
Ila ukute hata kijana hakuwa na shida ni wewe tu ulimweka kwenye level kubwa na sadly akashindwa ku meet expectations.
Yeah, always nawaweka watu kwenye level ambayo nahisi nipo, expectation yangu ni utanizidi au tutalingana.
Shida inakuja ninaporealize, uko empty. Pia sivutiwi na uwezo wa kiuchumi, ila again zingatia hizo expectation nilizosema hapo juu na usianze kusema wanawake hatueleweki 🤣🤣.
Kwani ukiwa turned on... Inakuaje? Sisi wa primary attraction mwili una kuwa activated, goosebumps, na burning desire kwa harakaa
Nakua hivyo hivyo pia ulivyosema, nikishakua attracted na wewe kwa sababu tumematch kihisia na kiakili (yani napenda unavyowaza, unavyoarticulate mambo, kujenga hoja, naheshimu kazi unayofanya, naona kuna vitu unaweza kunifundisha etc.) then ile ya kimapenzi inakuja automatically. Na hapo kwenye ya mwili, ndiyo patamu, maana naenjoy mapenzi kwa ujumla wake wote.
😂😂 A good defence there, Umepangua kama Kipa wa cape Verde
😂 😂
cape verde coach .webp

So nimepiga kwenye mshooni😑
Mule mule ghete 🤣🤣🤣
 
Kwa muonekano napenda mwanaume anaevaa vizuri smart

Wale wa ma chen chen noo

Asiwe kijana sana yaan awe 35 kwenda juu naamini walau akili imekomaa

Awe ananukia vizuri
Mwanaume anaenukia akinikumbatia nafika kibo hapo hapo

Awe akiongea anaonekana yupo timamu sitaki kilaza

Hayo yote ni enzi za uhai wangu😅😅
Binti wa zamani
That's mm kabisa ila age category😓 punguza...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom