Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Nimekutamani 🤭 - Njoo tuzogoe!

Tupo tumabanana km ndizi au samaki na maji
Safi, tengenezeni familia sasa!

Web Series Love GIF by TNC Africa.gif
 
Ndiyo wewe 🤣
View attachment 3610556
Haya jibu maswali yangu sasa!
Mwanaume hahitaji connection kumtamani mwanamke, tusiwe tunasahau kwamba binadamu ni wanyama tu kama wengine, na kinachomtrigger mwanaume ni "EXPOSURE" tu hamna kingine, mwanamke kuwepo tu around mwanaume anatest tu, na kupima kinalika? Response ya mwanamke ndio itaamua iwe leo au siku ingine, hamna mwanamke mgumu kwa mwanaume as long as kuna exposure, wataanza kwa kutazamana, then mazungumzo ya kawaida then exposure inavyozidi stori zinabadilika taratibu

Mwanaume anapomuona mwanamke muda wote akili yake ishaamvua nguo na kuunda picha na kufikiria anakitaka hiki kitu au la, na hata akiamua hakitaki kikawa na exposure naye atajaribu tu mwanamke akiachia tu ataliwa hata kama mwanaume huyohuyo aliona awali hakina kiwango anachotaka, so triggers za kumuamsha mwanaume ni kila kitu kilichopo kwa mwili wa mmama!

Kuna watu wanajutia wenzi wao kwa sbb hzhz alitest kikawaka akasahau wote wa nyuma hata aliokua na malengo nao!
 
Twende nayo tu hivyo hivyo sisi si wa kwanza wala wa mwisho hapa duniani, hatuwezi kubadilisha chochote.
Tusiache kufurahi maana maisha ujumla wake ni furaha.
GIF by Jason Clarke.gif

Usiipoke furaha ya mwenzako kwa ubinafsi wako, eti kisa unampenda unataka awe wako peke yako wakati nae anaitafuta furaha yake.
Hii ni kwa maisha ya kawaida au hata mahusiano? mfano na mke au mume wa ndoa?
Tuache ama kupunguza kujipendelea na kujipa umuhimu katika maisha ya mtu, hata kama ni mtoto wako wa kumzaa, bado anabaki kuwa mwanadamu.
Nakubaliana na hili kwa asilimia 💯 hasa kwa watoto, nao wanastahili kufanya yale yanayowafurahisha na wanayoyapenda, si kila kitu ni kwa ajili yetu kama wazazi.
 
Mwanaume hahitaji connection kumtamani mwanamke, tusiwe tunasahau kwamba binadamu ni wanyama tu kama wengine, na kinachomtrigger mwanaume ni "EXPOSURE" tu hamna kingine, mwanamke kuwepo tu around mwanaume anatest tu, na kupima kinalika? Response ya mwanamke ndio itaamua iwe leo au siku ingine, hamna mwanamke mgumu kwa mwanaume as long as kuna exposure, wataanza kwa kutazamana, then mazungumzo ya kawaida then exposure inavyozidi stori zinabadilika taratibu

Mwanaume anapomuona mwanamke muda wote akili yake ishaamvua nguo na kuunda picha na kufikiria anakitaka hiki kitu au la, na hata akiamua hakitaki kikawa na exposure naye atajaribu tu mwanamke akiachia tu ataliwa hata kama mwanaume huyohuyo aliona awali hakina kiwango anachotaka, so triggers za kumuamsha mwanaume ni kila kitu kilichopo kwa mwili wa mmama!

Kuna watu wanajutia wenzi wao kwa sbb hzhz alitest kikawaka akasahau wote wa nyuma hata aliokua na malengo nao!
💯 Ila naweza kusema initial exposure trigger huwa ndo ina amua the rest of the other trigeers. Kuna demu ukimwona for the first time na asiwe type yako na usiwe na malengo ya kumkula na hisia zikawa dormant alaf kuna wengine sio type yako ila ukipewa tu unailomba, so first impression ndo kila kitu
 
Yes 1st impression ni kwa yule wa "type" yako ukiwa na exposure hata na usiyemtaka utajikuta mnazoeana then jicho linakuwa kengeza unatest mambo, akikubali tu kosa unaweza kula hata ofisini, kwenye gari, chooni, na kwingeneko pasipo rasmi, halafu wanaume huwa tunajifanya ni one time show, ila itakuwa inaendelea tu utafanya kwa siri tu ili isionekane unakula mtu sio wa "type" yako! Mnakuwa mnapigiana simu tu au text mkutane chocho then kila "ntu" na njia yake baada ya hapo😛😛
 
It's like kuwa na pet? Au tuseme hauna kupenda kitu visually like art, nature... Ila sio platonic inakuwa sexual desire, na kwa wewe ambae mpk mtu aanze kuku fantasize mentally Kweli shughuli ipoo
Napenda vitu visually sana, art, nature, aesthetically pleasing stuff etc.

Kwa mtu wangu, naweza kupenda macho, au lips au mikono etc. kwa sababu ni ya mpenzi wangu ambaye tayari ameshanivutia. Ila sina kitu chochote cha kimwili ambacho napenda randomly mfano; sijui napenda mwanaume mwenye kifua kikubwa au mweusi au mweupe, NO.

Hii ni kwa upande wangu, kwa mwanaume yeye anaweza kunipenda anavyotaka yeye, it's not up to me.
 
Yes 1st impression ni kwa yule wa "type" yako ukiwa na exposure hata na usiyemtaka utajikuta mnazoeana then jicho linakuwa kengeza unatest mambo, akikubali tu kosa unaweza kula hata ofisini, kwenye gari, chooni, na kwingeneko pasipo rasmi, halafu wanaume huwa tunajifanya ni one time show, ila itakuwa inaendelea tu utafanya kwa siri tu ili isionekane unakula mtu sio wa "type" yako! Mnakuwa mnapigiana simu tu au text mkutane chocho then kila "ntu" na njia yake baada ya hapo😛😛
Labda aku suprise mkiwa tendoni si unajua tena sisi wanaume😄, na mwanamke akkijua weakness yako tuu, umeisha
 
Hao hapana aisee!
HIvi unajua hata text tuu ni a form of seduction hatari saana? Yaani mtu katuma sms,
Seran: you're so cute I imagjne❤️

Wewe: aww that's so nice of you😍

The above sms kwa mwanamke anona normal ila mwanaume Tyr kichwani! Anawaza demu katika huyoo ona emoji, ona alivyo respond kwa mahaba. Ila kingine pia ile issue ya demu kuwa hajulikani yuko upande upi! Kakubali au kakataa nayo ni big deal kwa mwanaume mana ata endelea ku impress na wewe Uta endelea kuonesha doubt kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom