de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,016
- 21,825
Basi mwonee huruma.
Basi mwonee huruma.
Seran natamani nikuchurugeMambo ni mob! Kuna wanafunzi wamefunga shule wana funo balaa! Nyuzi 50 kwa siku!
Nmemuona mshenzi huyu! Nishamwambia atajificha snaa ila ni rahisi kumnasa!
Kwendraa zakoo na hivyo vi pole vyako visivyo na kichwa wala miguu😁Pole
Viwekee kicwa na miguu🤪Kwendraa zakoo na hivyo vi pole vyako visivyo na kichwa wala miguu😁
Kuchuruge ndio nini?Seran natamani nikuchuruge
Kunguru wa kutagwa weweViwekee kicwa na miguu🤪
Pole weee 😆Kunguru wa kutagwa wewe
Nimechekaa kwa sauti ya chini ila majirani wameskiaBinti anajificha nyuma ya umri wa 35 si bora aseme tu anataka mibaba ya wizarani ile inakuaga na skendo pembeni
Nimekuelewa, ndiyo maana sisi tulivyokua mabinti tulifundishwa na sasa tunafundisha mabinti zetu, kutokua na ukaribu na wanaume. Ukianza kukaribisha vistory story na mazoea yasiyo ya lazima hapo sasa ndiyo unajitengenezea mazingira ya kutongozwa au kuliwa.Hamna mwanamke anatamani mwanaume upo sahihi kabisa ni mwanaume ndio anainfluence umfuate, ndio maana nmesema ni nafasi tu mwanaume akipata na wewe masaa kadhaa tu anaanza kubadili stori na zitaelekea kibla, utakataa ila akiendelea kufuatilia na kukumbusha mara kwa mara na akapitisha na viofa vya hapa na pale unaachia mama yangu! Ndicho nilichamaanisha
Pole weee 😆
Na mnajua kuwateka haswa ashukuriwe aliyeaznisha kikokotoo lasivyoAcha nikomae na wazee 🤣🤣
Heb mie 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Na mnajua kuwateka haswa ashukuriwe aliyeaznisha kikokotoo lasivyo
Alooh unajipulizia mshahara wa mwalimu mkuu binti jasiri sana35 siyo mbaba buana, wewe sema tu humo kwenye vigezo haujatosha.
Perfume za bei rahisi hazinukii anavyopenda huyo dada, vijana wanaonukia anaowataka yeye wanatumiaga manukato ya kuanzia laki 5 na kwenda juu, jipange!
Dada acha basi kua mkweli sana aaah😆🤣🤣🤣35 siyo mbaba buana, wewe sema tu humo kwenye vigezo haujatosha.
Perfume za bei rahisi hazinukii anavyopenda huyo dada, vijana wanaonukia anaowataka yeye wanatumiaga manukato ya kuanzia laki 5 na kwenda juu, jipange!
🤣🤣Alooh unajipulizia mshahara wa mwalimu mkuu binti jasiri sana
Gudubai pole zako sio mimiGudubaii
Nimekuambia jipange, acha kushangaa shangaa 🤣Alooh unajipulizia mshahara wa mwalimu mkuu binti jasiri sana
Namuandaa kisaikolojia 😂Dada acha basi kua mkweli sana aaah😆🤣🤣🤣
Acha nitulie tushaambiwa kufikia miaka 40 tuhakikishe tuna heka 5 za uwanja nikizembea naweza kua kada wa chama kwenye uzee wanguNimekuambia jipange, acha kushangaa shangaa 🤣