Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #281
Sijawahi kutamani kuwa mwanaume na hakika, kwa haya unayoyasema, siwezi kutamani. Akili yangu haiwezi hata kucomprehend matamanio ya namna hii. Hapana kwa kweli!Ndivyo ilivyo, mwanaume anamtazama mwanamke mara moja tu na akili yake haraka inasema akiwa kitandani anakuwaje, na hapohapo zinaamka zile za hii type yangu au sio, then hakuna mwanaume mwenye ganzi kwa mwanamke anayekutana naye mara kwa mara iwe kazini, church, jodging, mpirani, baa, club etc, hapa bongo ni suala la muda tu, mtasogeleana muda utafika! Na hakuna mwanaume anakataa akiachiwa, hamna mkate mgumu kwa chai ni consistency tu na exposure vitafikisha golini!