Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #241
Yani umbali kidogo tu ndiyo umewatenganisha? kwanini hukumfuata?Laiti kama asingeenda daslamu basi hakuna kitu kingetutenganisha
Yani umbali kidogo tu ndiyo umewatenganisha? kwanini hukumfuata?Laiti kama asingeenda daslamu basi hakuna kitu kingetutenganisha
Nateyamanile 🤣🤣 nale nshamba!Mwanike’bhe utomana genaya?
View attachment 3611000
Mwanike twakopndikaga ghete ileloo😅Nilekagishi nyand’ebhe!
Ungekuwa mshamba ungetoa wapi hilo pozi la avatar yakoNateyamanile 🤣🤣 nale nshamba!
Si unaona kuna watu hadi wanalipigia nyetoNateyamanile 🤣🤣 nale nshamba!
Umeelezea vizuri sana na nimeelewa, ila maisha ya wanaume ni magumu sana kama ni kweli kila mwanamke unayemuona akikaa kwenye line yako basi unaanza kufantasize itakuwaje akiwa naked.Mwanaume hahitaji connection kumtamani mwanamke, tusiwe tunasahau kwamba binadamu ni wanyama tu kama wengine, na kinachomtrigger mwanaume ni "EXPOSURE" tu hamna kingine, mwanamke kuwepo tu around mwanaume anatest tu, na kupima kinalika? Response ya mwanamke ndio itaamua iwe leo au siku ingine, hamna mwanamke mgumu kwa mwanaume as long as kuna exposure, wataanza kwa kutazamana, then mazungumzo ya kawaida then exposure inavyozidi stori zinabadilika taratibu
Mwanaume anapomuona mwanamke muda wote akili yake ishaamvua nguo na kuunda picha na kufikiria anakitaka hiki kitu au la, na hata akiamua hakitaki kikawa na exposure naye atajaribu tu mwanamke akiachia tu ataliwa hata kama mwanaume huyohuyo aliona awali hakina kiwango anachotaka, so triggers za kumuamsha mwanaume ni kila kitu kilichopo kwa mwili wa mmama!
Kuna watu wanajutia wenzi wao kwa sbb hzhz alitest kikawaka akasahau wote wa nyuma hata aliokua na malengo nao!
Yes 1st impression ni kwa yule wa "type" yako ukiwa na exposure hata na usiyemtaka utajikuta mnazoeana then jicho linakuwa kengeza unatest mambo, akikubali tu kosa unaweza kula hata ofisini, kwenye gari, chooni, na kwingeneko pasipo rasmi, halafu wanaume huwa tunajifanya ni one time show, ila itakuwa inaendelea tu utafanya kwa siri tu ili isionekane unakula mtu sio wa "type" yako! Mnakuwa mnapigiana simu tu au text mkutane chocho then kila "ntu" na njia yake baada ya hapo😛😛
Unapenda nini? na mapenzi yamekufanya nini mamie?Mimi sipendi mapenzi
Ni kama jogoo tu kuku mgeni lazima awe na kazi. 😅 Ila Kuna wengine tumejitambua kiasi tunaweza ku control kwa muda mrefu(nimesema ku control) sio kizuiaNdivyo ilivyo, mwanaume anamtazama mwanamke mara moja tu na akili yake haraka inasema akiwa kitandani anakuwaje, na hapohapo zinaamka zile za hii type yangu au sio, then hakuna mwanaume mwenye ganzi kwa mwanamke anayekutana naye mara kwa mara iwe kazini, church, jodging, mpirani, baa, club etc, hapa bongo ni suala la muda tu, mtasogeleana muda utafika! Na hakuna mwanaume anakataa akiachiwa, hamna mkate mgumu kwa chai ni consistency tu na exposure vitafikisha golini!
Ni kama vile kuna wengine hawapendi kula na mimi sipendi kufanya mapenzi.Unapenda nini? na mapenzi yamekufanya nini mamie?
Ni kama jogoo tu kuku mgeni lazima awe na kazi. 😅 Ila Kuna wengine tumejitambua kiasi tunaweza ku control kwa muda mrefu(nimesema ku control) sio kizuia
Yes na Sapiosexual as wellSo that's demisexual,
Mnafaa sana nyie hasa kwa mwanaume atakaye invest time and attention kwako.
Ninaye 😎😎😎 ila sijui yeye anavutiwa na nini 😂Ungekuwa na mdogo wako simu zingehusika😜 ni ndoto ya mwanaume kupata mwanamke anaye mpenda yeye tuu
Ndo maana tunakufa mapema. Miili yeetu ina work against us. Sometimes inabidi uwe delusional ili mambo yaende. Imagine mko peke yako na demu alaf anakushika pipe for no reason!! Unachomoaje? Ila yeye sasa gusa hata Makebo uone matusiiNi suala la muda tu, mtu akiamua kukufuatilia na mnakutana kila siku utamuelewa tu, labda unaweza kupiga chini kwa show mbovu ya trial, control haipo ya kudumu my dear! Sadly
Romance vp nayo hamna?Ni kama vile kuna wengine hawapendi kula na mimi sipendi kufanya mapenzi.
Nachopenda ni kugandana tu labda tukumbatiane au tukae karibu.
Kuna ni mtaa huu🏃♀️🏃♀️
Eleweka basi na wewe? Unajikimbiza ka kuku mgeni😁Kuna ni mtaa huu🏃♀️🏃♀️
SipendiRomance vp nayo hamna?
Watu wa humu ni kama mwezi mchanga unaweza ukafungua uzi kwa uzuri tu aki comment wa kwanza kupinga wanaofata wote ni hivyo😅😅😅Umemisika ujue, zile nyuzi zetu pendwa 😛 😛