Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
- Thread starter
- #221
Aiseeeeh, hakuna hata kitu kimoja 🤣Nimewazaaaaa navutiwa na nini nimekosa jibu!
Mimi sipendi mapenziAiseeeeh, hakuna hata kitu kimoja 🤣
View attachment 3610992
Bro Evelyn Salt jana kasema yeye ni hela tu, ngoja tumuulize na Espy_ yeye huwa anavutiwa na nini?
So that's demisexual,Napenda vitu visually sana, art, nature, aesthetically pleasing stuff etc.
Kwa mtu wangu, naweza kupenda macho, au lips au mikono etc. kwa sababu ni ya mpenzi wangu ambaye tayari ameshanivutia. Ila sina kitu chochote cha kimwili ambacho napenda randomly mfano; sijui napenda mwanaume mwenye kifua kikubwa au mweusi au mweupe, NO.
Hii ni kwa upande wangu, kwa mwanaume yeye anaweza kunipenda anavyotaka yeye, it's not up to me.
Bora wewe hata umewaza, mimi hata sielewi mnazungumzia nini😒Nimewazaaaaa navutiwa na nini nimekosa jibu!
Duhh leo umenifungua macho! Kumbe wakati wengine tunajifurahisha huku kuna watu mnafanya mental masturbation 😩HIvi unajua hata text tuu ni a form of seduction hatari saana? Yaani mtu katuma sms,
Seran: you're so cute I imagjne❤️
Wewe: aww that's so nice of you😍
The above sms kwa mwanamke anona normal ila mwanaume Tyr kichwani! Anawaza demu katika huyoo ona emoji, ona alivyo respond kwa mahaba. Ila kingine pia ile issue ya demu kuwa hajulikani yuko upande upi! Kakubali au kakataa nayo ni big deal kwa mwanaume mana ata endelea ku impress na wewe Uta endelea kuonesha doubt kwake
Mental masturbation😂, nilikuwa prey saana high school kuna demu alinilia hela zangu nyingi ila nilimkula BTW.Duhh leo umenifungua macho! Kumbe wakati wengine tunajifurahisha huku kuna wtu mnafanya mental masturbation 😩
Ila Seran mnafiki wewe😅😅Bora wewe hata umewaza, mimi hata sielewi mnazungumzia nini😒
Wavaa zilipendwaMvaa jeje ndiyo kitu gani?
As long as mlikulana both team to score! Kama kuna mtaji sio shida sana😁Mental masturbation😂, nilikuwa prey saana high school kuna demu alinilia hela zangu nyingi ila nilimkula BTW.
Kwelii!🥲Ila Seran mnafiki wewe😅😅
Kwendraa tapeli mkubwa ww😁As long as mlikulana both team to score! Kama kuna mtaji sio shida sana😁
Nilekagishi nyand’ebhe!Kwendraa tapeli mkubwa ww😁
Kwamba ilikuwa GG YesKwendraa tapeli mkubwa ww😁
GG ndio nini?Kwamba ilikuwa GG Yes
GG alaf muhindi kasha kula mpk basiKwamba ilikuwa GG Yes