Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

Speechless
Kuna mwenzio nilimuektia nna maisha duni sana ila nikamwambia na malengo yetu baadae, na nilimpenda sanaa, alikua mzuri kweli kweli,
Tukienda lodge namtoa na 10, nkamwambia nafanya kibarua kwa mtu akanielewa kinafiki baada ya miezi 8 akaanza zingua kisa mtoto wa bosi mmoja serikali, jamaa kajipigia miezi 6 na simu kamnunulia afu akamwacha,
Siku anakuja kujua maisha yangu halisi akabaki kunilaumu kwanini nilimdanganya na kujilengesha tena wakati mi nshaoa sasa hivi ananilelea mwanangu ana mwaka, wakati alishachezea nafasi aliyonayo mwenzie.
 
Ulimuweza

Anaitwa Aisha Abdala anatafta Mme kigezo awe na miaka 30-55

Habari nimeitoa Facebook
Simu yake hiyo 0712 800 211
Vijana wa kiume fursa hiyo
FB_IMG_15414051811936175.jpeg
 
Ulimuweza
Alafu sio yeye tu, wakati nna mpango wa kuoa(ndani ya mwaka nilitafuta mke na nkaoa) niliwatongoza kama wa4 hivi vipindi tofauti na wote walikua na gia nna mtu wangu mmoja akafikia hadi kuja na bwanake dukani kwangu kufanya shoping, hata nikajaribu kuomba mechi za kirafiki kwa kua nalimpenda akagoma, baada ya kua mke wangu yuko likizo ya uzazi alijileta mbio, yaani ndani mwezi na nusu alinipa papuchi mara nne na zote alikua akiniita yeye kwake (alafu huyu nilimuweka wazi kabisa ukinikubali nakuoa kabisa lkn akachomoa), yaani baada hapo niliona wanawake akili zenu mnazijua wenyewe,
Wanangu wana miaka 6 sasa yeye bado yupo tu anadanga na tunalingana umri, namtania namwambia mwaka kesho nikikukuta bado wanakuchekea nakuweka ya mtoto anasema tu "ukiwa siriazi sina kipingamizi"
Na kati ya hao wa4 ni mmoja tu kaolewa mwaka huu na wala sio yule alikuanae kipindi kile.
 
Wengine hawajui nini wanachotaka ndo mana wako hivyo
 
Wanaume hawaangalii sura pekee bali tabia njema, akili na uwezo wa kujituma. Huwezi kuoa kwa sababu mtu ana shepu nzuri...unaoa mtu ambaye atakusaidia majukumu ya familia.
Huenda mtu ana visirani na usumbufu wa kutosha...mke haitaji mbwembwe mkuu
 
Back
Top Bottom