capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Kama anajua kupika chapati, fanya nipate mawasiliano yake..
Duniani kuna mengi unaweza yastaajabu . Mungu atustiri .
Usimusingizie Mungu kuolewa niwewe mwenyeweMwanaume akikupenda kakupenda sana .
Hata uwe malaya unajua ,unamadharau huna adabu mwanaume akishapenda kapenda .
Nausimuhukumu mtu kwa maana duniani hakuna aliyemsafi hata mmoja wote mbele zake Mungu tunamakosa na ndio maana kila ijumapili tunatubu dhambi zetu.
So ukija na suala la kuchagua hata wewe mwanaume .
Utakosa penda kilichopo kwa maana ndio kipo kwa muda huo.
Umenipata kila mwanamke amepangiwa na Mungu kitu unashangaa huolewi ila ukapata mtoto.
Unashangaa wewe umeolewa
Naunashangaa umeolewa unafamilia nzuri na maisha mazuri.
Ila mkae kujua sio kila mtu ataolewa.
Wapo ambao sio destiny kuolewa so usiilazimishe.
Wengine wanalazimisha kuolewa namtu ambaye hana huo mmpango.
Dah kuolewa ni mipango ya Mungu.
Kwani kule fb alikata kichwaSio vema mkuu
Inategemea kwamba umekuchora sana au lah!!Unasupport kwamba hadi wanaovaa skinny jeans makahaba?
Kweli ni mipango but its sad walah mwanamke unazeeka kila mtu anakuangalia like "huolewi tu?Mwanaume akikupenda kakupenda sana .
Hata uwe malaya unajua ,unamadharau huna adabu mwanaume akishapenda kapenda .
Nausimuhukumu mtu kwa maana duniani hakuna aliyemsafi hata mmoja wote mbele zake Mungu tunamakosa na ndio maana kila ijumapili tunatubu dhambi zetu.
So ukija na suala la kuchagua hata wewe mwanaume .
Utakosa penda kilichopo kwa maana ndio kipo kwa muda huo.
Umenipata kila mwanamke amepangiwa na Mungu kitu unashangaa huolewi ila ukapata mtoto.
Unashangaa wewe umeolewa
Naunashangaa umeolewa unafamilia nzuri na maisha mazuri.
Ila mkae kujua sio kila mtu ataolewa.
Wapo ambao sio destiny kuolewa so usiilazimishe.
Wengine wanalazimisha kuolewa namtu ambaye hana huo mmpango.
Dah kuolewa ni mipango ya Mungu.
Kwani sisi hatujasikia tumesema?Naongea na watoto wadogo ambao wepesi wa kusikia. Mi wakubwa nyie siwawezi kwakuwa tayari mna life styles zenu
Kwa ulichoandika hapa rudia post yangu ya kwanza, wazuri hua wanachagua sana mwishowe wanaachwa,Wapo hadi mwingine miaka nane jamaa akazingua bahati nzuri akaolewa baada ya mwaka mmoja tena na mtu aliekua anampotezea kumuona si type yake
Kama anajua kupika chapati, fanya nipate mawasiliano yake..
Kwa ulichoandika hapa rudia post yangu ya kwanza, wazuri hua wanachagua sana mwishowe wanaachwa,
Hata mimi nishawahi kua na hao warembo sana nikagundua sio matirio ya kuweka ndani ila nikawang'ang'ania sababu ya kuuzia sura na migegedo nilivyoamua kuoa nkahamia kwa mzuri wa kawaida asiye na makuu.
Dooh
Wapo waliooa hivi..WANAUME TUWE WAZI. HAWA WENYE MACHURA TUNAPENDA LUONA NA KUPITIA TU. KUOA NI BIG NO!! UNAOA KILIPUZI???!
Inategemea kwamba umekuchora sana au lah!!
Siyo makahaba ila mwonekano wa kikahaba.
Sijathema Mimi lakini
Kuna mahali alikosea
wakati wenzie wanachagua waume yeye alikua anachagua waume za watu
Sio fb.zipo full ila nimeweka hapa bila idhini yake na wala simjuiKwani kule fb alikata kichwa
mbona hujanifata sasa..acha hizoMwanaume wa mkoani umeongea la maana