Nimeipenda Samsung A 15

Nimeipenda Samsung A 15

Chief-Mkwawa samahani mkuu naomba utoe ushauri....kwaupande wako kati ya Samsung a15, aquos r6 na Redmi note 12 kwa same price unachukua ipi mkuu na kwanini? (Matumizi ya kawaida tu)
 
Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia tu.
Hii itatupa experience maana maisha yetu kwa sasa bila smartphone hucheki.
Ukienda nyumbani kelele kibao.
Mimi furaha yangu naipata mtandaoni
Ndio upo Nyegezi mwanza pole dogo
 
Chief-Mkwawa samahani mkuu naomba utoe ushauri....kwaupande wako kati ya Samsung a15, aquos r6 na Redmi note 12 kwa same price unachukua ipi mkuu na kwanini? (Matumizi ya kawaida tu)
Kuna simu mpya na refurbished, simu refurbished siku zote zinakua rahisi, unapata specs kubwa kwa bei ndogo ila unakua kama una bet inaweza kuwa nzuri ama ikawa na matatizo.

Hapo Aquos R6 ni nzuri zaidi lakini sio mpya ni refurbished.

Kuhusu Redmi note 12 ni simu nzuri zaidi kuliko A15, ina 5G, soc yake nzuri zaidi ina perfomance kubwa, nayo ina Amoled, Camera yake unaweza weka Gcam na kuongeza quality etc.
 
Asante Sana mkuu...ndio zote ni refurbished nitaibeba hiyo R6 as long inakuja na warranty ya mwaka mmoja.
 
Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia tu.
Hii itatupa experience maana maisha yetu kwa sasa bila smartphone hucheki.
Ukienda nyumbani kelele kibao.
Mimi furaha yangu naipata mtandaoni
chukua ya ram 6 unafurahia maisha
 
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.

Ukija kupata pesa, utaielewa na kuipenda S25!
 
Natumia A23, mwaka wa tatu huu, sijawahi kujutia
 
Nimezikubali
  • Samsung Galaxy A15 4g
  • Samsung Galaxy S23 Plus
  • Samsung Galaxy A34 5g
 
Back
Top Bottom