Nimeipenda Samsung A 15

Nimeipenda Samsung A 15

Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia tu.
Hii itatupa experience maana maisha yetu kwa sasa bila smartphone hucheki.
Ukienda nyumbani kelele kibao.
Mimi furaha yangu naipata mtandaoni
Chukua kama yangu A 25
Google pixel 7pro hutajuta kuwa nayo.
Ndio ninayo tumia. Ipo vizuri sana.
Tajeni bei basi Ili tuvunje vibubu..
 
Mhh. Sidhani. Mimi natumia A55 na sio kwamba siwezi kununua ya ml. 3. Sinaga wenge la simu.
Kweli kbsa lakin sio flagship ya SAMSUNG ndio jamaa anachosema..Processor zake ni za kawaida tu huwez kukuta zina MediaTek Dimensity 9300 Plus, Qualcomm Snapdragon 8 Gen 3, and Samsung Exynos 2400 na simu ni processor
 
Back
Top Bottom