Nimeipenda Samsung A 15

Nimeipenda Samsung A 15

Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia tu.
Hii itatupa experience maana maisha yetu kwa sasa bila smartphone hucheki.
Ukienda nyumbani kelele kibao.
Mimi furaha yangu naipata mtandaoni
Hakuna simu kama A15 kwa price point ya 300,000-400,000 hapa Tanzania ambayo ni mpya unafungua mwenyewe kwenye makaratasi.

Weakness yake ni Camera tu sio nzuri ila mambo mengine kama Ukaaji chaji, kioo decent cha Amoled, perfomance nzuri ya Helio G99 na warranty ambayo ina cover hadi kuvunjika kioo.

A16 ni mpya yake ila bei ipo juu na hakuna upgrade ya maana sana ku warranty hio bei kubwa.
 
A 55 ipoje Specification zake?
 
Pia kuna hizi Simu za Samsung za mitumba zipoje?
 
Hakuna simu kama A15 kwa price point ya 300,000-400,000 hapa Tanzania ambayo ni mpya unafungua mwenyewe kwenye makaratasi.

Weakness yake ni Camera tu sio nzuri ila mambo mengine kama Ukaaji chaji, kioo decent cha Amoled, perfomance nzuri ya Helio G99 na warranty ambayo ina cover hadi kuvunjika kioo.

A16 ni mpya yake ila bei ipo juu na hakuna upgrade ya maana sana ku warranty hio bei kubwa.
Chief mkwawa umemfumbua macho kwa kweli a15 kwa mtumiaji wa kawaida itakufaa ila kwetu sisi ambao ni supper heavy users haitufai hata kidogo . sisi lazima kutumia flagship pekee
 
Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia tu.
Hii itatupa experience maana maisha yetu kwa sasa bila smartphone hucheki.
Ukienda nyumbani kelele kibao.
Mimi furaha yangu naipata mtandaoni
Kwa kua Chief-Mkwawa ame'like basi sina shaka na post yako...
 
Back
Top Bottom