Nimeiona Meli Mpya ya Karne ya Mwaka 2024 -Mwanza, Jaribu kulinganisha na MV Victoria ya Miaka ya 1974 na utoe maoni yako

the power

Member
Oct 18, 2012
85
105
Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani.

Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje umenifikilisha sana (Narudia muonekano wake wa nje na si ndani).

Kumbuka tuko mwaka 2024, ni kipindi cha juu sana cha maendeleo ya technologia na science, grapics etc, kumbuka tuko ukanda wa joto la kutisha na si ukanda wa baridi kama scandinavia countries etc, kumbuka tumekwisha achana kipindi kirefu na miundo ya meli za abilia zenye muundo/muonekano wa kivita, tuko kwneye karne ya vitu vyenye muundo wa kiposh.

Nikiangalia muundo wa MV victoria na hii ya sasa najiuliza maswali magumu, hivi hawa maengeer wa Meli mpya hii ni wale wa karne ya 14 au 15 enzi za sindibad na alfurela ulela, halafu wale wa Zamani waliodesign MV victoria ndio wa karne mpya, karne ya 2024 (Quite the contrary).

Kumbuka wengi wetu tumezaliwa tumeikuta MV Victoria miaka ya 1974 ikiwa na muundo mkali, mpaka leo, Jamani mwaka wa 2024 tunatengenezewa muundo wa merikebu za Kivita za Kijerumani au iliyokuwa jumuiya ya Kisovieti katika vita ya kwanza ya dunia vya mwaka 1914-18.

Je nini maoni yako katika hii controversy, na unawashauri vipi wataalamu wetu kwenye miradi mingine mikubwa ya ujenzi wa nyumba, meli, vivuko n.k? wakitumia tax-payers money.

Ebu Jaribu kuiassess Meli Kongwe Mv Victoria iliyajengwa miaka ya 1974. Linganisha na MV Kazi sasa ya mwaka 2024

1711538061828.png
 
Kuna utofauti upo mkuu....Si mbaya MV mwanza....Design ya meli naona na Yatch ni tofauti.....Yatch unaweza ukaziPIMP ila Meli naona zipo Uniform.
 
Haina haja ya kulaumu mainjinia!.... Laumu mama yenu!

Umenipa milioni 15 nikuletee IST, then unajifanya kuchetua akili eti unataka yutong!

Unavuna ulichopanda!

Umepanda kiuno!...utavuna yaliyomo!... Utavuna mashine za kila rangi! Usichague! Ndefu, fupi wala nyembamba! Maana Hilo ndilo chaguo lako!
 
Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani.

Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje umenifikilisha sana (Narudia muonekano wake wa nje na si ndani).

Kumbuka tuko mwaka 2024, ni kipindi cha juu sana cha maendeleo ya technologia na science, grapics etc, kumbuka tuko ukanda wa joto la kutisha na si ukanda wa baridi kama scandinavia countries etc, kumbuka tumekwisha achana kipindi kirefu na miundo ya meli za abilia zenye muundo/muonekano wa kivita, tuko kwneye karne ya vitu vyenye muundo wa kiposh.

Nikiangalia muundo wa MV victoria na hii ya sasa najiuliza maswali magumu, hivi hawa maengeer wa Meli mpya hii ni wale wa karne ya 14 au 15 enzi za sindibad na alfurela ulela, halafu wale wa Zamani waliodesign MV victoria ndio wa karne mpya, karne ya 2024 (Quite the contrary).

Kumbuka wengi wetu tumezaliwa tumeikuta MV Victoria miaka ya 1974 ikiwa na muundo mkali, mpaka leo, Jamani mwaka wa 2024 tunatengenezewa muundo wa merikebu za Kivita za Kijerumani au iliyokuwa jumuiya ya Kisovieti katika vita ya kwanza ya dunia vya mwaka 1914-18.

Je nini maoni yako katika hii controversy, na unawashauri vipi wataalamu wetu kwenye miradi mingine mikubwa ya ujenzi wa nyumba, meli, vivuko n.k? wakitumia tax-payers money.

Ebu Jaribu kuiassess Meli Kongwe Mv Victoria iliyajengwa miaka ya 1974. Linganisha na MV Kazi sasa ya mwaka 2024

View attachment 2945975
Mbona picha umeweka ya meli 1 tu na hujatuambia hiyo picha ni ya meli ipi kati ya hizo?
Unadhani mimi wa huku Dodoma nitatofautishaje sasa?
 
Para ya kwanza ya uzi wako imetosha kuufanya uzi wako na hoja zako zote kuwa batili.
 
Hiyo paragraph ya kwanza imeandikwa strategically kujibu hoja hiyo hiyo uliyoandika. Msingi wa paragrapah hii ni kutengeneza angalizo kwamba urgument inayofuata haijabase kwenye scientific evidence bali personal esperience and analysis. Basi kila mtu hatakiwi kutoa hoja au kuchangia hoja yeyoye nje ya displine au professional yake
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom