Hatua 7 za Uhakika za Kupanga na Kutimiza Malengo yako Mwaka 2024

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
257
441
...kama Umekuwa ukihangaika Kutafuta Hatua za Uhakika za Kufuata Ili Kutimiza Malengo yako Basi makala hii ni kwa ajili yako...

Kwanini?..

(Unaweza Kujiuliza)

Hii hapa Sababu Moja Iliyonifanya nikuandalie hizi hatua Saba...

...Kama utakumbuka Vizuri wakati mwaka 2023 Unaanza...

Kila mtu huko Njee alikuwa anakuja na Mawazo yake ya Jinsi ya kutimiza Malengo ya Mwaka huu.

Ambacho Kilikuwa ni Kitu Kizuri Kabisa...

ILA...

Kulikuwa na Kitu Kimoja ambacho walikuwa Haawakwambii.

Na...

Hawatakaa Wakwambie ni hatua Zipi hasa zimehakikiwa kukupa Matokeo...

Yaani ni...

Hatua gani hasa ukizifuata Utatimiza Malengo yako kwa Haraka zaidi

Kwahiyo binafsi Niliamua kukaa chini na Kujaribu kila Walichokuwa Wanakisema na Kuona...

"Je ni kweli Kingeleta Matokeo walioahidi?"

ILA...

Kwa bahati Mbaya Haikuwa Hivo!

Kwasababu...

Walichokuwa wanakisema Kilikuwa hakijahakikiwa kukupa Matokeo kwa Asilimia mia moja.

...Baada ya Utafiti huo Mdogo nilioufanya na kujaribu kila kitu ndio nikaja na hizi hatua Mpya 7 za Kutimiza Malengo

Ambazo hapa chini baada ya Sekunde moja Utaenda kuzishuhudia Mwenyewe...

Vipi uko Tayari?..

Yeah Vizuri

Angalia Hapa Hatua moja baada ya Nyingine...

1). Fanya Maamuzi Kujua hasa Unachokita

Inaweza Ikawa wewe ni Dalali Labda na unataka kumiliki kiwanja chako na uanze Ujenzi

Badala ya kusema unataka Kujenga...Wewe kuwa SPECIFIC Kabisa kwamba

Wapi unataka upate Kiwanja na Itakugharimu kiasi gani kupata kila kitu unachokihitaji

Na...

Faida moja ya kuwa "Specific" ni kwamba...

Unapata picha Nzima ya nini unataka Kutimiza, Yaani kile unachokita Kinajijenga kwenye Ubongo wako.

Kwahiyo unakuwa na Ile hamu ya Kufikia Malengo yako

2). Andika Kila Kitu Unachokitaka

Kwanini Uandike?

(Unaweza Kujiuliza Tena)

Unaandika Malengo yako kwa sababu kuandika ni kuji COMMIT Kuyatekeleza uliyoyaandika...

Ndio Sababu Kubwa...

Hata ukienda Benki Lazima Ujaze form yao kwa kuandika SIO Kwa sababu hawawezi kukwambia utaje tu halafu wao waingize kwenye Computer...HAPANA!

ILA...

Kwa sababu wanajua Ukiandika mwenyewe utakuwa tayari Kutekeleza Mliyokubalia.

Hiyo Kitaalamu Inaitwa...

"The Power of COMMITMENT and CONSISTENCY"
.
Kwahiyo Malengo yoyote ambayo hayajaandikwa chini ni sawa na...

"Moshi wa SIGARA kwenye Hewa"

Kwahiyo andika Malengo yako yote kwenye Notebook yako ndogo.

3). Weka Mwisho wa Kutimiza Malengo yako.

Ukitaka kujua Binadamu ana Uwezo gani basi Muwekee...

DEADLINE!

Akili ya binadamu Inapenda kuwekewa mfumo flani wa kui FORCE Ili ioneshe uwezo wake wote Iliyonao.

Na...

Kitu pekee cha Kuifanya Ioneshe Uwezo wake ni Kuipa...DEADLINE!

Yeah...Tarehe ya Mwisho!

Hata kama Malengo ni ya Miaka 10 Mbele hakikisha unaweka Malengo yako kiasi kwamba kila Mwaka uwe Umefanya Kitu flani.

Na hapo Ndipo Unakuja Umuhimu wa..."WARM UP Calendar"

4). Tengeneza LIST ya Kila Kitu unachofikiri Unaweza Kukifanya Kufikia Malengo yako.

Nguli wa Kutengeneza Magari na Muanzilishi wa Kampuni ya FORD Henry Ford Aliwahi Kusema...

"Any Goal, No Matter how Large, Can be Achieved If you Break It down into enough Small Steps"

Na...

Hii Sentensi moja Ndio Ilimfanya Atengeneze Kitu Kinaitwa...
.
"ASSEMBLY LINE"

...huo ni Mfumo wa Ajabu aliotumia Henry Ford Kuuwa Ushindani wa Magari Miaka hiyo.

(Makala yake Nitakuja nayo Next Time)

Kwahiyo...

Kila hatua moja Unayoandika chini kwenye List yako ndivyo Kadri unavyozidi kuwa na hamasa ya Kutimiza Malengo yako.

5). Panga LIST yako Kulingana na Kipaumbele Chako.

Hii Itakuonesha...

Kipi Kianze kabla ya Kipi na Itakuonesha kipi Kinaanza kwanza na kipi Kinamaliza mwisho.

Ukishakuwa na List ya hatua zako pamoja na Malengo yako uliyoyapanga kwa kulingana na Vipaumbele vyako

Hapo tayari Utakuwa una kitu Kinaitwa...

PLAN!

Na...

Mtu mwenye Malengo na Plan ni BORA Zaidi kuliko mtu mwenye Matamanio na Matumaini pekee yake.

6). Anza Kuchukua Hatua kwenye Malengo yako

Sababu namba moja ya kwanini Watu wengi hawafanikiwi ni Kwasababu...

"HAWACHUKUI HATUA"

(They do NOT Take Actions)!

Na...

Sababu namba moja kwanini watu wengine Wanafanikiwa ni kwasababu Wanachukua Hatua.

(They are ACTIONS Oriented)!

Kwahiyo bila kuchukua Hatua usitegemee Kutimiza chochote.

Na Mwisho Kabisa ni...

7). Fanya Kitu kila Siku ambacho Kitakusogeza kwenye Lengo lako KUU

Anzisha tabia ya kuwa Kila siku unafanya kitu ambacho Kinapelekea kwenda Kutimiza Malengo yako

Mpaka Ifike atua hiki kitu Kinakuwa ni cha kawaida kama vile...

KUPUMUA!

Fanya Hiki Kitu Kila Siku, Siku 365 za Mwaka

Halafu Utanishukuru Baada ya Hapo!

PS: Hizi Hatua Zimehakikiwa Kukupa Matokeo kwahiyo Usiende Kuzijaribu bali Nenda kazitumie kutimiza Malengo yako.

Bado Hujachelewa kwasababu Bado tuko Mwaka 2023.

I Hope Kukuona uki SHINE Ndani ya Mwaka 2024 huku Ukitimiza Malengo yako.

Nikutakie...

Heri ya MWAKA MPYA wa 2024

See you to the Top

Gracias

Ubarikiwe Kak🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom