T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,937
- 30,099
Karibu usingizi

Karibu usingizi

Asante mkuuKaribu usingizi![]()
Asante mkuu

We ndo mwanaume sasa ........Unahonga elfu 25 unalalamika .
Mimi kuna mwanamke aliniomba elf hamsini ,, nkamtumia 53,000 Jana iyo ,,najana HIYO HIYO nmemuambia SIMTAKI ..sio sababu aliniomba hela ,,ila nisababu nilimpigia SIMU kuanzia saa tatu mpaka saa tano bila kupokelewa.
Alafu silalamiki .... Toa pesa ili upate nafasi ya kuingiza nyingine.
Mtoa mada ni kizibo cha peniHahahaaaa!! Pole sana mkuu.
Yaani huyo ni mkeo mtarajiwa alafu bado unasema "umehonga"!!!!!!
Kama huna unamwambia sina. Huyu mwenzetu huyu ni MCHUMBA halafu anasema kamuhonga!Kama ukijijua huna hela mfukoni usilogwe kuingia na mdada shoping mall au dukani hususan hawa wa sikuhizi wasio kuwa na stamala lazima atataka kitu tu.Hata hivyo 25 ni pesa ndogo sana kuspend kwa mpenzi wako.kufikiria pesa ambayo ishatoka haisaidii kupata nyengine,pambana.
We mdada tuhurumie huku twafaaaaa si kwa vicheko ivo loh!!!
ngoja nilaleKipato buku unahonga lakiKiukweli mi napenda sana sana kuhonga haswa mwanamke kama ni Mzuri nitamuhonga sana tuuu,huwa nahonga kuanzia laki,chini ya hapo sihongi,na hii yote sipendi ushindani...kama ni mwanamke mweusi/maji ya kunde,ana umbo zuri tuu na nimejiridhisha yake laki zangu atachukua sana tuuu....🙂😉😉 unashangaa niniii honga na wewe na kama hela ni rahisi...
Uthiku mwemaa![]()
ngoja nilale
Mkuu hawa wadogo zetu tuwavumilie tu bado wako kwenye ukuaji.Kama huna unamwambia sina. Huyu mwenzetu huyu ni MCHUMBA halafu anasema kamuhonga!
endelea kuhudumia wake za watuUnatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .
Hovyo sana.Huyu jamaa sio mwanachama mwenzetu kwenye chama cha wanaume.
Kwanini hajatokea mkuu?Mkuu 25000 umefungua uzi!!! siku akikipiga mzinga wa laki+ si utaita waandishi wa habari!!!!
Labda nikudokeze yaliyonikuta mimi wiki chache zilizopita,
Nilimkatia tiketi ya ndege mdada toka mbeya mwanza fastjet laki5+ na hela ya kujiandaa sijui kujilemba kama laki2+ lakini hakuna mtu aliyetokea mpaka ile tiketi imekufa lakini hajaonesha kujali!!!!