RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,875
- 129,882
Siku ingine atatuambia kamhonga mkewe!Hovyo sana.
Kama ni mke mtarajiwa hakupaswa kuandika kahonga.
Anahongwa malaya tu.
Siku ingine atatuambia kamhonga mkewe!Hovyo sana.
Kama ni mke mtarajiwa hakupaswa kuandika kahonga.
Anahongwa malaya tu.
anaongea kulingana na hali yake mkuu,msimtolee povusiku ukihonga Laki1 si ndio utakodisha gari la matangazo upige Haraambee..
Mwezake juzi katoa Rav4 na laki tano kila mweziSiku ingine atatuambia kamhonga mkewe!
Aisee huyo dogo nae anavuruga utaratibu. Watu walikuwa wanaona iPhone na S7 ndio mwisho..Mwezake juzi katoa Rav4 na laki tano kila mwezi
Alisema mama yake anaumwa kiongozi!!Kwanini hajatokea mkuu?
Imebidi nicheke. Kuna sababu ukipewa lazima uwe mpole.Alisema mama yake anaumwa kiongozi!!
Mdogo ake na makopa kopa kibao,Sasa uluchokiogopa hapo ni kipi,labda kalimuweka mdogo wake.
Acha uongo,..mkoan elf 25 ni hela nying sana,yan hapo dem anakula tena kitimoto na bia,analala lodge,na kesho unampa zawad ya visado vya nyanya na kuku wa kienyeji,na hela nying inabak,..ila daslam nkimnunulia mtoto wine ya robertson tuu pop corn imeisha,siunajua cinema popcorn cha size ya kat tuu 5000Wanaume wa Dar hakika mnaboa na kukera. Kuhonga elfu 25 tu ushafungua uzi tayari.
Huku mikoani elfu 25 haitoshi hata nauli na bado tupo ngangari hatulalamiki wala kulialia.
Siku ukihonga nyumba au gari halafu ukatalie tutakukuta unang'inia mtini na kamba ya buku.
hahaUnatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .
hahahahahaha dah ebwana eeh!Acha uongo,..mkoan elf 25 ni hela nying sana,yan hapo dem anakula tena kitimoto na bia,analala lodge,na kesho unampa zawad ya visado vya nyanya na kuku wa kienyeji,na hela nying inabak,..ila daslam nkimnunulia mtoto wine ya robertson tuu pop corn imeisha,siunajua cinema popcorn cha size ya kat tuu 5000
siku ukihonga Laki1 si ndio utakodisha gari la matangazo upige Haraambee..

sifa kuu ya mwanaume ni Kuhonga....wanawake wameumbwa kuhongwa bwanaa,mi hadi najisikia raha kuhonga....ila isiwe vi hela vidogo vidogo...kuhonga kuna raha yake ati...