Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Piga magoti omba Mungu akupe hekima namna ya kuishi na akina Eva. Bible imesema ishini nao kwa kutumia akili. Angalia umetolewa 25000 kiulaini
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Ahahahahahahaha pole ngekuw mm ngemwambia ludisha viatu
 
Yaani kumnunulia mkeo mtarajiwa kiatu cha sh elfu 25 roho imekuuma


Basi ndio maana kakuacha!!!
 
ss mzee unaendaje na demu kwa rfk yke ....inamaana utakua unawasklza wakpga umbea apo ultakiwa umwambie me nakusubir nje we nenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom