Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Ningekuwa Karibu ningekulipia mkuu
 
Unahonga elfu 25 unalalamika .

Mimi kuna mwanamke aliniomba elf hamsini ,, nkamtumia 53,000 Jana iyo ,,najana HIYO HIYO nmemuambia SIMTAKI ..sio sababu aliniomba hela ,,ila nisababu nilimpigia SIMU kuanzia saa tatu mpaka saa tano bila kupokelewa.

Alafu silalamiki .... Toa pesa ili upate nafasi ya kuingiza nyingine.
Manina
Mkuu mbona umetoa pesa kizembe hivyo.... Ungemwambia huna maana kakushtukiza
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Kiukweli mi napenda sana sana kuhonga haswa mwanamke kama ni Mzuri nitamuhonga sana tuuu,huwa nahonga kuanzia laki,chini ya hapo sihongi,na hii yote sipendi ushindani...kama ni mwanamke mweusi/maji ya kunde,ana umbo zuri tuu na nimejiridhisha yake laki zangu atachukua sana tuuu....🙂😉😉 unashangaa niniii honga na wewe na kama hela ni rahisi...
 
Umenikumbusha wik kadhaa nyuma kuna kabint nili meet nako pale shekinah mbezi,kakanambia kamemaliza 4 lakin kanafanya taratib za chuo,nkasema okay,ni kazur ,sasa urafik ukaendelea siku za usoni,ila sasa haka katoto sim hakana,kanatumia ya dadake,bas mawasiliano had aombe kwa dada,nameet nako usiku mitaa ya kwao,..dah mzee nkakanunulia sim zile za 99000,..heeee,naona baada ya kupata sim whatsap kakamweka bwana ake tena anaonekana ni bwa mdogo wa form 3 au 4 hiv,hahahahhah,dogo kavaa manguo ya rang rang,makofia,ma cheni,hahaha,nkasema yan mi fatak nmefkia ushindan na vitoto,nkakapotezea na hyo sim wala siiwaz,.hahah
 
Ungemwambia Sina pesa rudisha.shauri yako mdekeze tu atakutia hasara
 
Unatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .
Naomba kuja tafadhali
 
Unahonga elfu 25 unalalamika .

Mimi kuna mwanamke aliniomba elf hamsini ,, nkamtumia 53,000 Jana iyo ,,najana HIYO HIYO nmemuambia SIMTAKI ..sio sababu aliniomba hela ,,ila nisababu nilimpigia SIMU kuanzia saa tatu mpaka saa tano bila kupokelewa.

Alafu silalamiki .... Toa pesa ili upate nafasi ya kuingiza nyingine.
Boss!!!
 
hahahha,huyo piga chini aisee,hata mii kitu sipendi ni kuonga duh yani uumpe mtu pesa wakati anamikono na macho mwili na miguu miwili ah duh
 
Umenikumbusha wik kadhaa nyuma kuna kabint nili meet nako pale shekinah mbezi,kakanambia kamemaliza 4 lakin kanafanya taratib za chuo,nkasema okay,ni kazur ,sasa urafik ukaendelea siku za usoni,ila sasa haka katoto sim hakana,kanatumia ya dadake,bas mawasiliano had aombe kwa dada,nameet nako usiku mitaa ya kwao,..dah mzee nkakanunulia sim zile za 99000,..heeee,naona baada ya kupata sim whatsap kakamweka bwana ake tena anaonekana ni bwa mdogo wa form 3 au 4 hiv,hahahahhah,dogo kavaa manguo ya rang rang,makofia,ma cheni,hahaha,nkasema yan mi fatak nmefkia ushindan na vitoto,nkakapotezea na hyo sim wala siiwaz,.hahah
Hahahaaaa!!
Kwastory tu haujambo, kila siku una kisa kipya!!!
 
Hahahahah nmecheka kwa sauti
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Si bora ungekataa tu kuliko kuja kujidhalilisha humu,[mwanaumemashine]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom