Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Ndo maana nimeamua kutulia kimya.zile meseji ndugu Mteja umetuma sh 10,000.siku hizi zimepungua kwenye simu yangu
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Hahah ungeiweka hiyo kamanda kiingilio cha fiesta
 
Babake.... Mzee umeletwa kwenye 18 nawewe ukajaa, demu akakuingiza nyavuni.

Next time kaka haupo radhi 'kumhonga' ukiambiwa twende sehemu kama hizo shtuka mapema kataaa.

Ukikubali basi jiandae kulialia kama hivyo...

BTW Huyo ni mkeo mtarajiwa so haina haja ya kuumia
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Mkuu mbona umetoa pesa kizembe hivyo.... Ungemwambia huna maana kakushtukiza
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Wewe ni aibu kwa wanaume wenzio. Umesema mchumba wako au ?!
 
Unahonga elfu 25 unalalamika .

Mimi kuna mwanamke aliniomba elf hamsini ,, nkamtumia 53,000 Jana iyo ,,najana HIYO HIYO nmemuambia SIMTAKI ..sio sababu aliniomba hela ,,ila nisababu nilimpigia SIMU kuanzia saa tatu mpaka saa tano bila kupokelewa.

Alafu silalamiki .... Toa pesa ili upate nafasi ya kuingiza nyingine.
Beibiiiii
 
Pole kaka umejitahidi sana tena sana kwa uwezo wako hongera ni sawa tu na anaye honga nyumba au gari lakini usilalamike sana atalipa akiwa ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom