Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Tafakari mara 100 huyo kumfanya mkeo wa ndoa!
Kama ni kweli alichukua mzigo bila kukushirikisha basi tegemea hata ukimuoa ataenda kukopa kwenye taasisi za kifedha ndogo ndogo (SACCOS, FINCA, SEDA, PRIDE,BRAC) hata kwenye mabenki bila kukushirika na ataweka mali zenu za kuduma kama dhamana yake!!!!
Usikurupuke kumuoa huyo!
 
Kama gari vile, ukitaka misele lazima uweke wese, usipohonga wewe Jirani atahonga
 
Watu wanalipia mwanamke ada ya chuo we 25k unalialia hvyo
 
Inaonekana humjali huyo Mke wako mtarajiwa ndiyo maana inabidi achukue viatu ili wewe ulipie.
 
Chunga sana usipomjali atapata wengine wakumjali utajuta, maana haingii akilini Sh. 25,000/= tu unalalamika hivyo.
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Ingekuwa anajijua kuwa yeye ndiye mke matarajiwa kwako wala asingefanya alichokifanya, anachokijua yeye kwako ni kwamba wewe unataka kujilia Mbunye kisha ubwage tu na ndiomana ameamua kuwa CCM, Chukuwa Chako Mapema.
 
Unahonga elfu 25 unalalamika .

Mimi kuna mwanamke aliniomba elf hamsini ,, nkamtumia 53,000 Jana iyo ,,najana HIYO HIYO nmemuambia SIMTAKI ..sio sababu aliniomba hela ,,ila nisababu nilimpigia SIMU kuanzia saa tatu mpaka saa tano bila kupokelewa.

Alafu silalamiki .... Toa pesa ili upate nafasi ya kuingiza nyingine.
Huu ndo uanaume...sifa kuu kutoa ukitoa unaongezewa zaidi""sio wanalia lia hawa vijana wanaabisha mno...hahahh
 
Ooh Lord! Elf 25 tu waanzisha uzi? Siku ukitoa laki itakuaje? Wacha tuzae na Diamond hakuna namna
 
Km una malengo nae haina shida kimbembe umpe mwanamke wa kuoshea rungu tu
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Sasa usipohonga hiyo 25 watakuja wanaume wenzako watamuhonga 50 ,alafu ndiyo utajua maharage ni mboga au chakula
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma

HAFAI KUOA KAMA NI KWELI KAFANYA HIVYO, UNGEKUWA HUNA JE?
 
Mchumba wako,mke mtarajiwa!! Unamnunulia kitu 25,000/- halafu unalalamika? Yaani ulitakiwa umwambie hakuna kingine?

Hiyo ndo furaha yako japo umelalamika mwenzako kajisikia fahari ile mbaya mbele ya wenzake. Kaka mkubwa uanaume ,ubaba ndo huo.

Yaani hapo kama mm baba au kaka naamini binti yangu kapata mume anayeweza kumtetea popote
 
Unahonga elfu 25 unalalamika .

Mimi kuna mwanamke aliniomba elf hamsini ,, nkamtumia 53,000 Jana iyo ,,najana HIYO HIYO nmemuambia SIMTAKI ..sio sababu aliniomba hela ,,ila nisababu nilimpigia SIMU kuanzia saa tatu mpaka saa tano bila kupokelewa.

Alafu silalamiki .... Toa pesa ili upate nafasi ya kuingiza nyingine.
Ila moyoni uliumia kupoteza hiyo 50 sema navyokujua ukajikaza kisela kupitia ule msemo "pesa makaratasi"...daa! Wahuni sio watu...
 
Ila moyoni uliumia kupoteza hiyo 50 sema navyokujua ukajikaza kisela kupitia ule msemo "pesa makaratasi"...daa! Wahuni sio watu...
Mkuuu Ngoja nikupe siri ya kutokuumia ktk mapenzi.

UKIMPA MWANAMKE PESA AU UKIMSAIDIA ,,WEEE MPE PESAAU MSAIDIE BILA KUTEGEMEA CHOCHOTE KWAKE KAMA SHUKURANI...

LKN KM UTAMPA ALAFU UKITEGEMEA AKUPE MWISHO AKUPI ALAFU UNAANZA KUKAWAZIA KAELA KAKO.

binafsi huwa sitaki kujifunga navitu km hivi .that's y nakupa ,,lkn ukileta nyodo tunaachana.nabado usisikie nakulalamikia..
 
UNAKUWA NA PESA KIBAO ZA NINI MPENDEZESHE MAMA WATOTO MTARAJIWA HUYO.

HASARA ROHO TU PESA MAKARATASI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom