Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Nimehonga elfu 25 roho inauma sana

Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Ubahili huo kama hajatumia yeye azitumie nani pesa zako
 
Unatutia aibu wanaume bwana 25,000 unakuja kuanzisha Uzi .mm Niko hapa mchepuko wangu huko namarafiki zake wameshakunywa wain za laki 2 nabado tunaendelea kunywa .
Sijui huyu wa mikoani ama wa dar. yaani ametuabisha wanaume
 
Umenikumbusha wik kadhaa nyuma kuna kabint nili meet nako pale shekinah mbezi,kakanambia kamemaliza 4 lakin kanafanya taratib za chuo,nkasema okay,ni kazur ,sasa urafik ukaendelea siku za usoni,ila sasa haka katoto sim hakana,kanatumia ya dadake,bas mawasiliano had aombe kwa dada,nameet nako usiku mitaa ya kwao,..dah mzee nkakanunulia sim zile za 99000,..heeee,naona baada ya kupata sim whatsap kakamweka bwana ake tena anaonekana ni bwa mdogo wa form 3 au 4 hiv,hahahahhah,dogo kavaa manguo ya rang rang,makofia,ma cheni,hahaha,nkasema yan mi fatak nmefkia ushindan na vitoto,nkakapotezea na hyo sim wala siiwaz,.hahah
Sasa uluchokiogopa hapo ni kipi,labda kalimuweka mdogo wake.
 
Wanaume wa Dar hakika mnaboa na kukera. Kuhonga elfu 25 tu ushafungua uzi tayari.

Huku mikoani elfu 25 haitoshi hata nauli na bado tupo ngangari hatulalamiki wala kulialia.

Siku ukihonga nyumba au gari halafu ukatalie tutakukuta unang'inia mtini na kamba ya buku.
 
Umenikumbusha wik kadhaa nyuma kuna kabint nili meet nako pale shekinah mbezi,kakanambia kamemaliza 4 lakin kanafanya taratib za chuo,nkasema okay,ni kazur ,sasa urafik ukaendelea siku za usoni,ila sasa haka katoto sim hakana,kanatumia ya dadake,bas mawasiliano had aombe kwa dada,nameet nako usiku mitaa ya kwao,..dah mzee nkakanunulia sim zile za 99000,..heeee,naona baada ya kupata sim whatsap kakamweka bwana ake tena anaonekana ni bwa mdogo wa form 3 au 4 hiv,hahahahhah,dogo kavaa manguo ya rang rang,makofia,ma cheni,hahaha,nkasema yan mi fatak nmefkia ushindan na vitoto,nkakapotezea na hyo sim wala siiwaz,.hahah
nime cheka sana.
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
ungemwambia huna siku ingine
 
lazima mwanamke ajiridhishe kama unauwezo wa kukabiliana na matukio ya ghafla yanayohitaji pesa.

Ila hii mbaya sana.
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Kwa hiyo na wewe ulivyo mjinga ukaenda? siku nyingine ukiona anaingia dukani we zuga unataka muona mtu akimaliza atakukuta shem fulani!! otherwise utaendelea kulia lia tu
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Sasa siumwambie
 
thx u made my day lol
Mungu aninyime mwanaume kama huyu ,
Unajikuta unakatiza kupanda mwendo kasi
mara paap, unamuona bwana ako kashika kipaza anapiga harambee mpaka acc zako za snapchat anazitaja hapo ndo utajua kwanini hukutongozwa madale
Mbavu zangu mie.Atakodisha na wavaa madera ili wanogeshe matangazo
 
Mungu aninyime mwanaume kama huyu ,
Unajikuta unakatiza kupanda mwendo kasi
mara paap, unamuona bwana ako kashika kipaza anapiga harambee mpaka acc zako za snapchat anazitaja hapo ndo utajua kwanini hukutongozwa madale
We mdada tuhurumie huku twafaaaaa si kwa vicheko ivo loh!!!
 
Leo mitaa ya tegeta tulikuwa tunazunguka zunguka ,ghafla mchumba yangu ambaye mke wangu mtarajiwa akaniambia tuingie dukani la viatu kwa rafiki Yake tukamsalimie.
Baada ya story n.a. shangaa mwenzangu kachukua viatu kaweka kwenye mfuko akasema baby lipia hapo viatu elfu 25.
Daah roho iliuma sema ikabidi nifungue wallet.

Onyo :wanawake hizi tabia zenu za kushtukiza sio nzuri kabisa, hali yenyewe ngumu hii ..pesa ngumu jamani tuoneeni huruma
Sasa mke mtarajiwa roho imekuuma je ingekuwa mtu baki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom