Nimegundua!

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
Nimefanya ka utafiti kasiko rasmi, nimegundua kuwa, wanawake hawapendani kabisaaaaaaaaa!!!!!!!! Kwa mfano wanawake kwa wanawake wananyanyasana zaidi wao kwa wao kuliko wanavyo nyanyaswa na wanaume! Hebu check mahusiano ya Mahousegirl vs Mother house, Matrons vs wanafunzi wa kike mashuleni n.k n.k. Wadau nashauri sasa kabla ya wanawake kulalamikia unyanyasaji wanaofanyiwa na wanaume, waanze kwanza kukemea unyanyasaji unaofanywa baina yao wenyewe!

:-*Nawasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S shade:
 
bandiko lako halina element hata moja yenye mahusiano na siasa au angalau kutaja neno au jina la kiongozi wa siasa

mods....peleka thread hii kwenye habari mchanganyiko
 
Nimefanya ka utafiti kasiko rasmi, nimegundua kuwa, wanawake hawapendani kabisaaaaaaaaa!!!!!!!! Kwa mfano wanawake kwa wanawake wananyanyasana zaidi wao kwa wao kuliko wanavyo nyanyaswa na wanaume! Hebu check mahusiano ya Mahousegirl vs Mother house, Matrons vs wanafunzi wa kike mashuleni n.k n.k. Wadau nashauri sasa kabla ya wanawake kulalamikia unyanyasaji wanaofanyiwa na wanaume, waanze kwanza kukemea unyanyasaji unaofanywa baina yao wenyewe!

:-*Nawasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S shade:

Wewe ni Demu?
 
Umeniacha holaaa...... Kama aliyeandika ni mwanaume kaaaazi ipo maana karibu atasutwa kwa kuleta umbea kwenye siasa!
 
Nimefanya ka utafiti kasiko rasmi, nimegundua kuwa, wanawake hawapendani kabisaaaaaaaaa!!!!!!!! Kwa mfano wanawake kwa wanawake wananyanyasana zaidi wao kwa wao kuliko wanavyo nyanyaswa na wanaume! Hebu check mahusiano ya Mahousegirl vs Mother house, Matrons vs wanafunzi wa kike mashuleni n.k n.k. Wadau nashauri sasa kabla ya wanawake kulalamikia unyanyasaji wanaofanyiwa na wanaume, waanze kwanza kukemea unyanyasaji unaofanywa baina yao wenyewe!

:-*Nawasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S shade:

PELEKA KWENYE JUKWAA LA MAHUSIANO tutakupa A-Z zako.hapa hatuongelei udaku tupo kikazi zaidi
 
Nimefanya ka utafiti kasiko rasmi, nimegundua kuwa, wanawake hawapendani kabisaaaaaaaaa!!!!!!!! Kwa mfano wanawake kwa wanawake wananyanyasana zaidi wao kwa wao kuliko wanavyo nyanyaswa na wanaume! Hebu check mahusiano ya Mahousegirl vs Mother house, Matrons vs wanafunzi wa kike mashuleni n.k n.k. Wadau nashauri sasa kabla ya wanawake kulalamikia unyanyasaji wanaofanyiwa na wanaume, waanze kwanza kukemea unyanyasaji unaofanywa baina yao wenyewe!

:-*Nawasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S shade:

umepotea njia wewe.
 
Nijafikiri umegundua jinsi ya kuwaondoa CCM kabla ya mwisho wa mwezi!!
Unabahati ni mgeni!
 
unanikumbusha nilivo jiunga na jf,......
Karibu sana utazoea tu mitaa ya humu
 
Nimefanya ka utafiti kasiko rasmi, nimegundua kuwa, wanawake hawapendani kabisaaaaaaaaa!!!!!!!! Kwa mfano wanawake kwa wanawake wananyanyasana zaidi wao kwa wao kuliko wanavyo nyanyaswa na wanaume! Hebu check mahusiano ya Mahousegirl vs Mother house, Matrons vs wanafunzi wa kike mashuleni n.k n.k. Wadau nashauri sasa kabla ya wanawake kulalamikia unyanyasaji wanaofanyiwa na wanaume, waanze kwanza kukemea unyanyasaji unaofanywa baina yao wenyewe!

:-*Nawasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S shade:

wenzako wanachanganya na ndimu kdg ....naona wewe umeinywa kavu kavu
pole
 
Back
Top Bottom