Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,797
- 1,567
umekula?
unataka kumtunuku?umekula?
dah! imekula kwangu, nilifkiri unataka kumhurumia, namimi niombe. nina njaa kweli aiseeNah!! naona njaa inamsumbua @
dah! imekula kwangu, nilifkiri unataka kumhurumia, namimi niombe. nina njaa kweli aisee
dawa ipo usihofu, unataka ya kumeza au ya kusugua?Hahahha mie naumwa naomba dawa @ :A S kiss::A S kiss:
dawa ipo usihofu, unataka ya kumeza au ya kusugua?
ok acha nikuandikie prescription ya kutwa mara tatu. kwa maelezo zaidi njoo chumba cha operesheni. hapa wagonjwa wengine watatamani kuumwa na wao.Kusugua na kupaka:heh:
katavi ilikuwa wapi hii?Ahahahaaah bora imeletwa huku, kunafaa zaidi!!