Nimegundua mchumba wangu kanisaliti baada ya kuona meseji za mapenzi kwenye simu yake

Hii ni kweli ama ni story tu mkuu,? Pole ila huyo dada si hata angefuta hizo sms jamani na pia kama umeamua kua kwenye serious relationship na mnatarajia ndoa hayo mambo mengine angeachana nayo tu ona sasa kinachoenda kutokea🙄

Nakushauri usiwatumie wazazi jaribu kumuonesha na uone atajitetea vipi? Huenda ni rafiki yake katumia simu yake kuwasiliana na huyo mkaka(kama impossible hivi🤔) ila ongea naye huenda majibu yake yakakutuliza jazba kidogo mkuu
It's a really story mkuu. Bora zingekuwa hata meseji za kawaida ila WHATSAPP? I have that energy ya kuweza kuongea nae maana nahisi anaweza nikera sana nikafanya jambo ambalo siyo.
 
Habari za asubuhi wakuu. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo humu ndani.

Wakuu bila kupoteza muda ni kwamba leo asubuhi nikiwa tumelala, mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa tano aliniomba nimsaidie kutengeneza simu yake kwa sababu ilikuwa na matatizo katika upande wa WHATSAPP.

Katika kuitengeneza nimekutana na meseji mbaya sana ambazo zilisababisha nitetemeke mithili ya mtu aliyepigwa na shoti ya umeme. Kiukweli nimejikaza kama mwanaume ili asigundue chochote.

Nikawa nimepiga picha zile meseji kwa camera ya mbele(screenshot) na kujitumia. Ni meseji ambazo zinaonesha few days ago alikuwa guest House na mwanaume. So yule mwanaume alikuwa anaomba wakutane tena pamoja na anakumbushia walivyofanya siku hiyo na kumsifia shemeji yenu kuwa anajua mambo sana.

Kwa muktadha huo hapo juu wakuu. Nipo nae hapa ndani natamani nimmalize kabisa ila roho inasita ingawa hajui kama nishajua usaliti alioufanya. Kiukweli imefikia muda nafsi yangu haitaki kumuona kabisa. Tangu saa tatu nipo tu nimelala naugulia maumivu wakuu.

Je nimpe taarifa au nisubiri mpaka siku ya send off yake nije nimuwekee zile picha za screenshot kama zawadi yake na hapo ndipo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu na uchumba wetu?

Je nimtumie meseji hizi ili ajue kwamba nimegundua uchafu wake au nizitume kwa wazazi wake ili wajue matendo machafu ya mtoto wao?

Naomba tupeane uzoefu na mawazo wakuu. Najua wapo ambao watakuja kunikejeli ila it hurts a lot when you do really love someone halafu ana-cheat.

Ahsanteni na karibuni kwa ushauri pamoja na michango yenu wakuu maana nipo katika njia panda japo bado nipo imara sana.
Pga chini tu angalia mwingine hatokae kwa bwana
 
Kama una moyo kama wangu. Badirika ghafla act. Funga mlango,mwambie leo ndio utaniambia ukweli. Anza na vibao vya ghafla si vingi viwili,(kimoja kati ya hivyo kiwe cha kerbu kali). Then chomoa kisu kutoka chini ya godoro. Mwambie leo nitakumaliza. Haya ukitoka kupona nieleze kila kitu kuhusu hizi sms. Eleza ni nani mlikuwa gest gani?. Lini? Huku ukimrecord kwa kificho,hakikisha sauti iwe inanaswa vizuri. (MWANZO NIMESEMA MOYO KAMA WANGU. NINA UWEZO WA KUJIZUIA HATA IWE VIPI,SASA WEWE ASIJE AKAKUAMBIA ALIVYOTO**MB**WA,UKASHUSHA KISU)
😂😂😂😂
 
Unajikaza wakati unachomwa sindano 💉 ya sumuu. Umeshapiga mzigo? Piga sasa alafu muoneshe izo text. Mwambie nimefikia mwisho kwenye mahusiano yetu. Alafu download mwimbo wa Marioo inatosha. Uanze maisha mapya.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umenifurahisha sana mkuu.
 
Ujumbe wako haujakimilika mkuu..mwanamke akisaliti ndio anaachwa ila upande wa mwanaume hilo halipo
Haha,
Good Lord, nimecheka kama mazuri, hivi wanaume mna nini lakini..??
Kama ambavyo mkisalitiwa mnaumia vile vile na siye huwa tunaumia aiseeh'...!

Unawaza, kwahiyo alikuwa anamuangalia huyo manzi mwingine the way hunitazama kwa maqhaba katikati ya 'shughuli', huwa anamuongelesha maneno mazuri vile vile, huwa anamfikisha na kumliza vile hunifanya mimi.? bila aibu kabisa anambusu na kumuangalia machoni.??

Aaah' fq'...! Inauma mzee, acheni hizo za kujipa promo wanaume.!!
 
Adhabu nzuri ya kumpa ni simple sana ila inabidi uwe na moyo mgumu..

Vunja uchumba na taratibu zote za ndoa halafu mwambie umemsamehe lakini hamtaendelea na mahusiano halafu usimuonyeshe kuchukia

Please usimuonyeshe kumchukia yaani wewe vunja uchumba tu ukiwa na utulivu wako ukiitwa kwenye vikao sema nimegundua udhaifu ambao kwa msimamo wangu sipo tayari kuendelea na mahusiano na binti yenu,Upi? Atawahadithia binti yenu

Kamweeee usikae chini na mtu yeyote yule kujadili usaliti wa mwanamke wako,kamweee,yaani hiyo ni principle muhimu sana kwenye mahusiano hasa ukiwa mwanaume.

Ukiamua kuvunja mahusiano usijadili na mwanamke kwanini unataka muachane mpotezee bila kumpa sababu.

Muache na yeye ateseke kujua nini hasa ni sababu, muache na yeye adhakilike kwa mistake zake, kadri atakavyopata fedheha ndo na wewe utapata courage ya ku move on na maisha yako kifupi ngoma itakuwa draw.
 
Haha,
Good Lord, nimecheka kama mazuri, hivi wanaume mna nini lakini..??
Kama ambavyo mkisalitiwa mnaumia vile vile na siye huwa tunaumia aiseeh'...!

Unawaza, kwahiyo alikuwa anamuangalia huyo manzi mwingine the way hunitazama kwa maqhaba katikati ya 'shughuli', huwa anamuongelesha maneno mazuri vile vile, huwa anamfikisha na kumliza vile hunifanya mimi.? bila aibu kabisa anambusu na kumuangalia machoni.??

Aaah' fq'...! Inauma mzee, acheni hizo za kujipa promo wanaume.!!
mjuto ni mjukuu
 
Back
Top Bottom