Msaada: Wazazi wa binti wanakuja kwangu baada ya kuona msg za mapenzi kati yangu na binti yao

Makimuda255

Senior Member
Jul 31, 2020
165
286
Wakuu heshima kwenu

Kuna binti nilikuwa na mahusiano naye ya kimapenzi kwa muda wa miezi 3

Yeye alimaliza form 4 mwaka juzi na hakufaulu kulingana na alivyonambia

Nikiri sijawahi kufanya naye mapenzi ila tulikuwa tunachat tu msg moto moto za mapenzi yaani msg za kila aina na maneno yote ya mapenzi unayoyajua wewe na kila nikimuomba game alikuwa akinambia kwamba kesho au keshokutwa yaani anasogeza siku mbele bila sababu za msingi

Sasa leo kanipigia simu ananiambia kuwa jana nilivyochat nae kwao nyumbani waliona hizo msg na kumgombeza na baba yake na mama yake wamesema wanaongozana naye hadi kwangu hiyo kesho

Amenambia hayo leo nipo nimechanganyikiwa nishauri nifanyeje wakuu

Kiukweli sijawahi kufanya nae mapenzi japo ninapoishi anapajua, kingine nikichat nae huwa anasema anazifuta msg

Anasema chanzo cha yote ni mama yake aliamuzima simu na anadai kuna kipindi mama yake aliwahi kuona meseji zangu kwenye simu yake

Na hiyo siku kulitokea ugomvi mimi na yeye ishu ni kumpigia simu inakuwa bize.

Kingine huyu binti toka nachat nae juzi alisema hayupo nyumbani yupo kwa mjomba wake (huwa anakujaga kwa mjomba wake sana anakaa hata wiki)

Na hata leo wakati naongea nae asubuhi saa 5 alinambia yupo kwa mjomba wake

Sasa cha ajabu mida hii ya jioni ananipigia simu ananiambia tena hayo mambo kwamba yupo kwao wakati najua alikwishanambia yupo kwa mjomba.

Sasa wakuu nimechanganyikiwa nifanyeje nishaurini please
 
Sasa unawaza nini wakati wanataka kukuletea Chakula mkuu?, badala ya kupoteza muda kuchat wameona wakuletee kabisa hiyo mboga uwe unajitafunia kwa raha zako.Jamani una bahati wewe jamaa!,dah!, Natamani km ningekuwa ndo mimi.
 
Mhhh

Tatizo haliko kwa wazazi wala huyo demu... Tatizo niwewe unaekuza mambo nakusema unataka kuchanganyikiwa... Waache waje tu... Wakaribishe ndani mle story
 
Kama kumega hujamega unachohofia ni nini? Huyo si mpenzi wako ni chart friend tu
 
Wakuu heshima kwenu

Kuna binti nilikua na mahusiano naye ya kimapenzi kwa muda wa miezi 3

Yeye alimaliza form 4 mwaka juzi na hakufaulu kulingana na alivyonambia

Nikiri sijawah kufanya naye mapenzi ila tulikua tunachat tu msg moto moto za mapenzi yaani msg za kila aina na maneno yote ya mapenzi unayoyajua wewe na kila nikimuomba game alikua akinambia kwamba kesho au keshokutwa yaani anasogeza siku mbele bila 7bu za msingi

Sasa leo kanipigia simu ananiambia kuwa jana nilivyochat nae kwao nyumbani waliona hizo msg na kumgombeza na baba yake na mama yake wamesema wanaongozana naye hadi kwangu hiyo kesho

Amenambia hayo leo nipo nimechanganyikiwa nishauri nifanyeje wakuu

Kiukweli sijawahi kufanya nae mapenzi japo ninapoishi anapajua, kingine nikichat nae huwa anasema anazifuta msg

Anasema chanzo cha yote ni mama yake aliamuzima simu na anadai kuna kipindi mama yake aliwahi kuona meseji zangu kwenye simu yake

Na hiyo siku kulitokea ugomvi mimi na yeye ishu ni kumpigia simu inakua bize.

Kingine huyu binti toka nachat nae juzi alisema hayupo nyumbani yupo kwa mjomba wake (huwa anakujaga kwa mjomba wake sana anakaa hata wiki)

Na hata leo wakat naongea nae asubuhi saa 5 alinambia yupo kwa mjomba wake

Sasa cha ajabu mida hii ya jioni ananipigia simu ananiambia tena hayo mambo kwamba yupo kwao wakati najua alikwishanambia yupo kwa mjomba
Sasa wakuu nimechanganyikiwa nifanyeje nishaurini please
Aaagh! Mbona issue ndogo hiyo mzeebaba , anyway .....wacha nikupe maujanja mwamba .

Make sure wakija wakukute uko na demu mkali kuliko mtoto wao otherwise uwe unakula zako nyeto tena kwa mafuta mengi na kwa mwendo ule wa pwah! Pwah then problem solved ,ama nigani mzeebaba .
 
Back
Top Bottom