Ni uhayawani wa hali ya juu, mtu atoke visiwani huko ambako idadi ya watu haijazi hata mkono, aje kuwaonea watu wa nchi nyingine.Uvunjwe huu muungano fake unaotuletea madikteta kama hili
Kama ni ukaribu, tupo karibu zaidi na Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Burundi, Zambia, DRC kuliko kisiwa tulichotenganishwa kwa bahari.
Huyu amekwisha wadharau mamilioni yote ya Watanganyika. Anawafunga watu kama nguruwe.
Hata huko kwa Sabaya, watu wasifurahie. Sabaya ni kweli alifanya makosa lakini kwani makosa alifanya pekee yake? Alitumia makosa ya wazi ya Sabaya kumkomoa kwa vile tu alimdharau alipokuwa makamu. Lakini pia hakimu aliyemfunga Sabaya siyo hakimu, ni afisa wa TISS aliyeingizwa mahakamani kuwakomoa watu.
CCM na wapinzani wa CHADEMA msifurahie. Kama Sabaya mwanaCCM amemtenda hivi, wewe ni nani hata ujihakikishie usalama chini ya utawala wa huyu mnafiki? Mwanamke akiamua kuwa mbaya, ni aheri ya mwanaume. Simba anayeua ni simba jike, siyo dume. Nyuki walinzi ni wanawake. Walinzi maharamia waliowamaliza wapinzani wa Gadafi walikuwa wanawake.
Wanaoongoza kuwaua wenzi wao katika ndoa ni wanawake. Wanaoongoza kuwaua wenzi wao kwaajili ya kukomba mali katika ndoa ni wanawake. Wakati wapo wanawake wanyofu sana, wacha Mungu, watiifu, wavumilivu, lakini wapo wanawake ambao uovu wao ni vigumu hata kufikirika. Jinsia isitupofushe.