Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

Uvunjwe huu muungano fake unaotuletea madikteta kama hili
Ni uhayawani wa hali ya juu, mtu atoke visiwani huko ambako idadi ya watu haijazi hata mkono, aje kuwaonea watu wa nchi nyingine.

Kama ni ukaribu, tupo karibu zaidi na Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Burundi, Zambia, DRC kuliko kisiwa tulichotenganishwa kwa bahari.

Huyu amekwisha wadharau mamilioni yote ya Watanganyika. Anawafunga watu kama nguruwe.

Hata huko kwa Sabaya, watu wasifurahie. Sabaya ni kweli alifanya makosa lakini kwani makosa alifanya pekee yake? Alitumia makosa ya wazi ya Sabaya kumkomoa kwa vile tu alimdharau alipokuwa makamu. Lakini pia hakimu aliyemfunga Sabaya siyo hakimu, ni afisa wa TISS aliyeingizwa mahakamani kuwakomoa watu.

CCM na wapinzani wa CHADEMA msifurahie. Kama Sabaya mwanaCCM amemtenda hivi, wewe ni nani hata ujihakikishie usalama chini ya utawala wa huyu mnafiki? Mwanamke akiamua kuwa mbaya, ni aheri ya mwanaume. Simba anayeua ni simba jike, siyo dume. Nyuki walinzi ni wanawake. Walinzi maharamia waliowamaliza wapinzani wa Gadafi walikuwa wanawake.

Wanaoongoza kuwaua wenzi wao katika ndoa ni wanawake. Wanaoongoza kuwaua wenzi wao kwaajili ya kukomba mali katika ndoa ni wanawake. Wakati wapo wanawake wanyofu sana, wacha Mungu, watiifu, wavumilivu, lakini wapo wanawake ambao uovu wao ni vigumu hata kufikirika. Jinsia isitupofushe.
 
Kwa nini atoe rushwa ya cheo kwa Jaji anayeisikiliza hii kesi, wakati yeye ndiye anayemshtaki Mbowe?

Kwa nini mtu ambaye ni TISS apewe cheo kikubwa ndani ya mahakama? Hii siyo kuvuruga mahakama?

Huyu ni shetani katika umbile jingine. Na anaweza kuwa hatari kuzidi hata marehemu. Marehemu alikuwa muwazi. Kama anakuchukia au anataka kukuonea, atasema wazi. Huyu ni mnafiki. Sauti ya upole, ushungi haubanduki, lakini kilichopo ndani ni uchafu mtupu.

Amekuwa kama kaburi ambalo nje limepambwa kwa maua lakini kilichopo ndani kila mmoja anajua.

Anayemshtaki Mbowe ni Serikali, na kiongozi mkuu wa Serikali ni yeye, halafu anampandisha cheo jaji anayesikiliza kesi ambayo yeye ninmlalamikaji. Hii siyo rushwa ya wazi kabisa?
Kwa hiyo kama Sayani ana sifa zote za kupandishwa cheo asipandishwe kwa sababu ni jaji wa kesi ya Mbowe? Really???!! TISS wapo kila mahali, hata huyo Mbowe wako anaweza kuwa TISS pia, Makatibu wakuu wa chama chako wawili kabla ya mnyika walikuwa TISS pia! Kama kweli kahongwa hicho cheo basi naweza kusema huo ni uhongaji wa kipuuzi kuwahi kufanywa hapa TZ, uongaji gani wa waziwazi namna hiyooo?? Walishindwa kuhonga kwa namna nyingine hadi wamuonge cheo na kwa uwazi namna hiyoo?

Grow up guys, hizi kelele na uzushi wa mitandoni hauwezi kumuokoa Mwamba, Mwamba kama hana kosa atatoka! Akina Mdude, Ruge, Sigh na wengineo waliyapitia haya but mwisho wa siku waliachiwa baada ya kuonekana hawana hatia
 
Ni uhayawani wa hali ya juu, mtu atoke visiwani huko ambako idadi ya watu haijazi hata mkono, aje kuwaonea watu wa nchi nyingine.

Kama ni ukaribu, tupo karibu zaidi na Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Burundi, Zambia, DRC kuliko kisiwa tulichotenganishwa kwa bahari.

Huyu amekwisha wadharau mamilioni yote ya Watanganyika. Anawafunga watu kama nguruwe.

Hata huko kwa Sabaya, watu wasifurahie. Sabaya ni kweli alifanya makosa lakini kwani makosa alifanya pekee yake? Alitumia makosa ya wazi ya Sabaya kumkomoa kwa vile tu alimdharau alipokuwa makamu. Lakini pia hakimu aliyemfunga Sabaya siyo hakimu, ni afisa wa TISS aliyeingizwa mahakamani kuwakomoa watu.

CCM na wapinzani wa CHADEMA msifurahie. Kama Sabaya mwanaCCM amemtenda hivi, wewe ni nani hata ujihakikishie usalama chini ya utawala wa huyu mnafiki? Mwanamke akiamua kuwa mbaya, ni aheri ya mwanaume. Simba anayeua ni simba jike, siyo dume. Nyuki walinzi ni wanawake. Walinzi maharamia waliowamaliza wapinzani wa Gadafi walikuwa wanawake. Wanaoongoza kuwaua wenzi waonkatika ndoa ni wanawake. Wanaoongoza kuwaua wanawake kwaajili ya kukomba mali za wenzi wao katika ndoa ni wanawake. Wakati wapo wanawake wanyofu sana, wacha Mungu, watiifu, wavumilivu, lakini wapo wanawake ambao 10 salama lazima atadondoka huyu mnafiki
Hataweza kumaliza miaka 10 salama lazima atadondoka
 
Kwa Sabaya haki imetendeka na mahakama ni huru. Kwa Mbowe haki haijatendeka na mahakama siyo huru. What a double standard!

Wakiguswa wengine mnanyamaza, akiguswa gaidi mnataka sote tumpiganie eti wakimalizana nao watakuja na kwetu!

Pathetic fools.
Kwa Sabaya, haki imetendeka na imeonekana imetendeka.

Kwa Mbowe,haki haijatendeka na haijaonekana kutendeka.

Ndiyo maana kwa Sabaya wanashangilia,ila Mbowe wanaguna
 
Wafanyao dhuluma watalipa mara mia kwa kipimo cha kujazwa na kushindwa .

Wengine wapo hapo kwenye hizo nafasi kwa sababu ya neema ya MUNGU ila wameanza kujisahau wanaenda katika njia zao wenyewe ongofu

Hakika bwana wa majeshi hatowaacha,muda sahihi ukifika atawakatilia mbali wasiendelea kuumiza viumbe wake
 
Ni uhayawani wa hali ya juu, mtu atoke visiwani huko ambako idadi ya watu haijazi hata mkono, aje kuwaonea watu wa nchi nyingine.

Kama ni ukaribu, tupo karibu zaidi na Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Burundi, Zambia, DRC kuliko kisiwa tulichotenganishwa kwa bahari.

Huyu amekwisha wadharau mamilioni yote ya Watanganyika. Anawafunga watu kama nguruwe.

Hata huko kwa Sabaya, watu wasifurahie. Sabaya ni kweli alifanya makosa lakini kwani makosa alifanya pekee yake? Alitumia makosa ya wazi ya Sabaya kumkomoa kwa vile tu alimdharau alipokuwa makamu. Lakini pia hakimu aliyemfunga Sabaya siyo hakimu, ni afisa wa TISS aliyeingizwa mahakamani kuwakomoa watu.

CCM na wapinzani wa CHADEMA msifurahie. Kama Sabaya mwanaCCM amemtenda hivi, wewe ni nani hata ujihakikishie usalama chini ya utawala wa huyu mnafiki? Mwanamke akiamua kuwa mbaya, ni aheri ya mwanaume. Simba anayeua ni simba jike, siyo dume. Nyuki walinzi ni wanawake. Walinzi maharamia waliowamaliza wapinzani wa Gadafi walikuwa wanawake. Wanaoongoza kuwaua wenzi wao katika ndoa ni wanawake. Wanaoongoza kuwaua wenzi wao kwaajili ya kukomba mali katika ndoa ni wanawake. Wakati wapo wanawake wanyofu sana, wacha Mungu, watiifu, wavumilivu, lakini wapo wanawake ambao uovu wao ni vigumu hata kufikirika. Jinsia isitupofushe.
Ukisikia mpango wa Mungu ndio huo... Obama mzazi wake ni Mkenya na kaongoza taifa kubwa kuwahi kutokea. Acha Mungu aitwe mungu
 
Kwa Sabaya, haki imetendeka na imeonekana imetendeka.

Kwa Mbowe,haki haijatendeka na haijaonekana kutendeka.

Ndiyo maana kwa Sabaya wanashangilia,ila Mbowe wanaguna
Watanzania tunaona haki imetendeka kwa wote wawili. Nyie hamwezi kuona maana mnahusika na ugaidi.
 
Kuna tofauti kidogo.

1.Sabaya analalamikiwa na walala hoi.Mbowe analalamikiwa na Polisi.

2.Sabaya alikuwa ameshatenda uhalifu.Mbowe anadhaniwa kuwa alitaka kutenda uhahalifu.

3.Haki inaonekana kutendeka kwa Sabaya miongoni mwa wananchi.Lakini kwa Mbowe haki inaonekana haijatendeka

Lakini nadhani shabaha ni kumfunga Mbowe.
Hiyo shabaha ni kwa faida ya nani ?!
 
Kwa hiyo kama Sayani ana sifa zote za kupandishwa cheo asipandishwe kwa sababu ni jaji wa kesi ya Mbowe? Really???!! TISS wapo kila mahali, hata huyo Mbowe wako anaweza kuwa TISS pia, Makatibu wakuu wa chama chako wawili kabla ya mnyika walikuwa TISS pia! Kama kweli kahongwa hicho cheo basi naweza kusema huo ni uhongaji wa kipuuzi kuwahi kufanywa hapa TZ, uongaji gani wa waziwazi namna hiyooo?? Walishindwa kuhonga kwa namna nyingine hadi wamuonge cheo na kwa uwazi namna hiyoo?? Grow up guys, hizi kelele na uzushi wa mitandoni hauwezi kumuokoa Mwamba, Mwamba kama hana kosa atatoka! Akina Mdude, Ruge, Sigh na wengineo waliyapitia haya but mwisho wa siku waliachiwa baada ya kuonekana hawana hatia
Wewe nafikiri umeingiliwa na ushabiki wa kipuuzi . Umpotezee mtu muda na uelekeo kuwa kama hana hatia ataachiwa !! Seriously ?! . Unyanyasaji kwa wapinzani ktk nchi za ki communist haujaanzia leo na Tz tu. Ni vitu vya kukemewa visiote mizizi. Magu kanyanyasa watu leo yuko wapi ?!. Tunatendeana haya ili tuende nayo wapi ?!

Itikadi zetu zisitupofushe na kulewa madaraka
 
ukisikia mpango wa Mungu ndio huo... Obama mzazi wake ni Mkenya na kaongoza taifa kubwa kuwahi kutokea. Acha Mungu aitwe mungu, nenda kafukuwe mashimo ndio kazi unayoweza.

Tatizo ulipo wewe na mimi ni mbingu na nchi. Tunachoongelea ni kuwa na Taifa la haki.

Obama hakuwa Mkenya. Alikuwa Mmarekani. Wazazi wake walikuwa Wakenya. Unalinganisha embe na viazi.

Wewe una uraia mmoja, wa Tanzania. Lakini haki zako za kikatiba, robotatu zinaishia bara. Tanzania inaishia wapi, sijui kama wewe unajua. Wenzio wana uraia wa nchi mbili. Uraia ule ambao robotatu ya haki za kikatiba zinaishia bara, na uraia wa Zanzibar ambao haki za kikatiba ni asilimia miamoja. Hivyo haki zao za kikatiba ni 100% kwa Tanzania nzima.
 
Nikisoma baadhi ya majibizano kwenye uzi huu, leo kwa mara ya kwanza nimejilaumu kuwa nilikwenda shule! Namwonea gere Mtanzania, ana raha ambaye haelewi kinachoendelea hapa Tanzania hivi sasa. Hata Mzee Mwinyi anayejiita kichuguu akijilinganisha na Nyerere anakemea watu kujitoa ufahamu kwa faida binafsi. Anashauri watu wajue kuna Mungu. Someni vijana kitabu chake. Mzee Mwinyi hakufanya lo lote kwa nia ya kumkomoa mtu. Ndiyo maana ana baraka zake!
 
76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom