Nimefungua kijiwe.....karibuni...

Nimefungua kijiwe.....karibuni...

unamaana Preta ndio anahudumia kote kote nyuma na mbele mi nilifikiri kule nyuma wanapouza mbege ni mtu mwingine amekodisha
Hahahahhahah! Lugha gongana, wewe inaonekana unapenda 0713......, hiyo hapo kijiweni haipo, acha hizo!
 
hakikisha hii kitu inapatikana ntapita hapo baade

View attachment 80807
Dada @FP, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja na mjomba Dark City naona wifi/shemeji yenu ameandaa mdojolela kwa kijiwe yetu, karibuni sana. Mtani watu8, platozoom, shemeji Arusha one, Erickb52, Boflo na rafiki yangu Wiyelele karibuni sana

Wadau The Boss, MziziMkavu, AshaDii, mshenga King'asti karibuni muonje mapiko ya mtoto wa kichaga katika mahadhi ya vyakula vya kingoni!

Mubwelayi mwawoha (Karibuni nyote)
 
Hahahahhahah! Lugha gongana, wewe inaonekana unapenda 0713......, hiyo hapo kijiweni haipo, acha hizo!

ni kweli mi ni mpenzi lakini kwahapa umenisingizia tu maana nilijaribu kujibu hoja yako ya mbele na nyuma kunauzwa mbege
kwani hiyo mbege ya nyuma inapatika wapi sio hapo kijiweni kwa prezoo?
 
Dada @FP, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja na mjomba Dark City naona wifi/shemeji yenu ameandaa mdojolela kwa kijiwe yetu, karibuni sana. Mtani watu8, platozoom, shemeji Arusha one, Erickb52, Boflo na rafiki yangu Wiyelele karibuni sana

Wadau The Boss, MziziMkavu, AshaDii, mshenga King'asti karibuni muonje mapiko ya mtoto wa kichaga katika mahadhi ya vyakula vya kingoni!

Mubwelayi mwawoha (Karibuni nyote)

mshenga? Hamna ndoa hapo, ntawavuruga balaa!
Kama hana finyango chache za noah ya kuchoma sahau. Sionji mimi!
 
Usikose supu ya mapupu shosti. Jumapili after church nakuja na familia nzima.
 
mshenga? Hamna ndoa hapo, ntawavuruga balaa!
Kama hana finyango chache za noah ya kuchoma sahau. Sionji mimi!

Hahahahahahah! Noah kama kawa 24/7,

Utaanza kutuvuruga leo? mimi na Preta ni chanda na pete, una ubavu wa kukata kidole? Na ukikata kidole hicho kidole kitafaa nini?
 
Last edited by a moderator:
Dada @FP, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja na mjomba Dark City naona wifi/shemeji yenu ameandaa mdojolela kwa kijiwe yetu, karibuni sana. Mtani watu8, platozoom, shemeji Arusha one, Erickb52, Boflo na rafiki yangu Wiyelele karibuni sana

Wadau The Boss, MziziMkavu, AshaDii, mshenga King'asti karibuni muonje mapiko ya mtoto wa kichaga katika mahadhi ya vyakula vya kingoni!

Mubwelayi mwawoha (Karibuni nyote)

Asante sana ndugu yangu....nimependa hicho kidhungu cha kwetu...(blue)!!

Babu DC!!
 
[/COLOR]

Kuna ujumbe alianiachia babu yangu miaka kadhaa iliyopita, na bado anaendelea kunisisitiza katika maono yangu ya kuifanya JMT yote kuwa ya wangoni, wote wazungumze kingoni, ndo maana nimeanza na mchaga Preta, yeye amenizalia Clarita, na nitazaa naye wengine 8, hao wote watakuwa wangoni!

Dadangu FP atawatafutia wake Arushaone, Nicas Mtei, Erickb52, Boflo, watu8, platozoom, halafu wajomba wote watakuwa wangoni, after 10 years shua misheni itakuwa kompliti!

Mjomba unga mkono hii muvu, anza na madame X
 
Last edited by a moderator:
Dada @FP, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja na mjomba Dark City naona wifi/shemeji yenu ameandaa mdojolela kwa kijiwe yetu, karibuni Sanaa. Mtani watu8, platozoom, shemeji Arusha one, Erickb52, Boflo na rafiki yangu Wiyelele karibuni sana

Wadau The Boss, MziziMkavu, AshaDii, mshenga King'asti karibuni muonje mapiko ya mtoto wa kichaga katika mahadhi ya vyakula vya kingoni!

Mubwelayi mwawoha (Karibuni nyote)

Duh......we kweli unajua biashara.......sikuachi.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom