Hakyanani kama una supu ya samaki wa aina ya nembe basi mimi nitazuka hapo. Hao samaki ni watamu balaa, fanya na supu ya ningu kabisa ili tumalize mchezo!.Utapenda ya samaki gani.....,? Nina nembe peke yake......
Utapenda ya samaki gani.....,? Nina nembe peke yake......
Hizo supu haziongezi nguvu za mambo fulani???inabidi iwe hivyoHakyanani kama una supu ya samaki wa aina ya nembe basi mimi nitazuka hapo. Hao samaki ni watamu balaa, fanya na supu ya ningu kabisa ili tumalize mchezo!.
Karibuni sana..... Mniungishe swaiba yenu.....
Mtori....makongoro..... Supu ya kichwa....kila kitu unapata.......
Mwambuie asisahau chikandi na mangatungu na ile pilipili kichaa iliyochanganywa na chumvi ya kusaga..Dada @FP, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja na mjomba Dark City naona wifi/shemeji yenu ameandaa mdojolela kwa kijiwe yetu, karibuni sana. Mtani watu8, platozoom, shemeji Arusha one, Erickb52, Boflo na rafiki yangu Wiyelele karibuni sana
Wadau The Boss, MziziMkavu, AshaDii, mshenga King'asti karibuni muonje mapiko ya mtoto wa kichaga katika mahadhi ya vyakula vya kingoni!
Mubwelayi mwawoha (Karibuni nyote)
Dada @FP, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja na mjomba Dark City naona wifi/shemeji yenu ameandaa mdojolela kwa kijiwe yetu, karibuni sana. Mtani watu8, platozoom, shemeji Arusha one, Erickb52, Boflo na rafiki yangu Wiyelele karibuni sana
Wadau The Boss, MziziMkavu, AshaDii, mshenga King'asti karibuni muonje mapiko ya mtoto wa kichaga katika mahadhi ya vyakula vya kingoni!
Mubwelayi mwawoha (Karibuni nyote)
Mtori....makongoro..... Supu ya kichwa....kila kitu unapata.......
Chakula hicho unaweza ukapasua ata sahani nne usishibe! Napenda mahindi mabichi yale ambayo unachanganya na maharage!