moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,309
- 1,552
Mwambuie asisahau chikandi na mangatungu na ile pilipili kichaa iliyochanganywa na chumvi ya kusaga..
Hapo kwenye bold inaitwa Kawoli,
Likungu na Mawungu tutaweka pia! Makululu hayatakosekana! We intent to be unique!
Nipo meneja masoko wa hiyo kijiwe!