Nimefungua kijiwe.....karibuni...

Nimefungua kijiwe.....karibuni...

Kuna ujumbe alianiachia babu yangu miaka kadhaa iliyopita, na bado anaendelea kunisisitiza katika maono yangu ya kuifanya JMT yote kuwa ya wangoni, wote wazungumze kingoni, ndo maana nimeanza na mchaga Preta, yeye amenizalia Clarita, na nitazaa naye wengine 8, hao wote watakuwa wangoni!

Dadangu FP atawatafutia wake Arushaone, Nicas Mtei, Erickb52, Boflo, watu8, platozoom, halafu wajomba wote watakuwa wangoni, after 10 years shua misheni itakuwa kompliti!

Mjomba unga mkono hii muvu, anza na madame X

Huyo ni mimi au kitukuu wangu??


Daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh...muulize mdogo wangu FP akusimulie zaidi....

Mwenzio namalizia pensheni yangu mie....lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
PRET À MANGER -Thats french means Ready to eat.

Weeee.......hayo ni makosa ya kiufundi......ndio nipo natafuta fundi wa kuisogeza hiyo A irudi mahali pake.......
 
Hakuna etc babu......ila unaruhusiwa kuja na yako........


Wewe nakufahamu vizuri tu mdogo wangu....

Yaani zinakutosha wewe tu...huwezi kummegea mtu hata kwa dawa ...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kila kitu mwake........hata mkitaka shiro.....sowe....nduu....etc.....mnapata......
cc: Kimey..... Bigirita......

Heeeee... Preta, unasema shiro na nduu sio.....orait orait. Haya machakula ya wala utumbo wa kuku yameshanichosha.
Ngoja niangalie kama pijo yangu ina mafuta.
 
Last edited by a moderator:
Vp nitapata kwa njia Online,,mambo kidigtali zaidi
 
Weeee.......hayo ni makosa ya kiufundi......ndio nipo natafuta fundi wa kuisogeza hiyo A irudi mahali pake.......
So kuna vyakula vya kifaransa? Kuna kitu kinaitwa "Soupe de poisson" ni supu ya samaki tamu sana.fanya mpango vipatikane
 
So kuna vyakula vya kifaransa? Kuna kitu kinaitwa "Soupe de poisson" ni supu ya samaki tamu sana.fanya mpango vipatikane

Utapenda ya samaki gani.....,? Nina nembe peke yake......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom