Kwa wenyeji wa Arusha na Moshi, karibuni mniunge mkono mimi ni mfugaji wa kuku wa nyama, chotara na kienyeji napatikana Moshi wilaya ya hai Bomang’ombe, naomba mniungishe kuku wa nyama(broiler) na Tanbro (chotara kg 2) karibuni mtembelee ukurasa wetu instagram Shangwe _food _group na facebook shangwe makuku
kuku wa nyama bei ni Tshs 8500/=
kuku chotara ni Tshs 26,000/=
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754766029 karibuni sana
kuku wa nyama bei ni Tshs 8500/=
kuku chotara ni Tshs 26,000/=
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754766029 karibuni sana