nipatie longitudo and latitudo za kijiwe chako. Nakuja.Ipo......hata scratching zake unapata ......
nipatie longitudo and latitudo za kijiwe chako. Nakuja.
Tumekaribishwa wote. Hapa nasubiri Preta anipe location.Tukaribishane basi
Mtori....makongoro..... Supu ya kichwa....kila kitu unapata.......
Karibuni sana..... Mniungishe swaiba yenu.....
Nani anashinja hapo?
Mtori....makongoro..... Supu ya kichwa....kila kitu unapata.......