Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Habarini wanajamvi,

Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu,wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu. Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendea na Hg, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.

Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.

Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.

Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.

Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!
Mmmmmmmh

Hivi Bikra Unaweza Kuiona Kwa Kukagua Uke?

Na ukikagua uke unatakiwa ukute nini ndani ya uke ili ujiridhishe kuwa Bikra bado ipo, anayo?

Na ukikuta nini ndani ya uke ndo ujue kuwa hana Bikra, haipo?

Naomba kuelimishwa katika hilo
 
Hayo ni mapenzi yao tu, so long hakuna kibaya wakifanyacho basi waacheni tu.
BTW hata ww mume wako ana uwezo wa kukukagua papuchi ukichelewa kurud home. [emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora uwaache wakaguane wao, ukianza maneno houseboy ataanza kukagua wanao ulie na kusaga meno
 
Kwahiyo mumeo nae kaona house girl ni bikra? Watch out kama wewe hajakukuta na bikra anaweza kwenda kujifunzia kutoa kwa house girl hahhaha, nimesema tu lakini.
 
Habarini wanajamvi,

Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu,wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu. Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendea na Hg, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.

Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.

Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.

Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.

Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!
Sasa ulitaka akukague wewe au mumeo ndo amkague huyo house girl?

Kama wanapendana wenyewe si uwaache tu nilidhani wamewadhulumu watoto wako kumbe mapenzi na hiari yao.
 
Bint yako anamiaka mingapi? Maana kama ameshakuwa na akili kuvulishwa nguo ninyi mnaona jambo la kawaida au na ninyi wazinzi!!??. Kemeeni fukuzeni.

Huwezi jua kwa nn mume wako anachulia poa

Mi nashangaa mlio na mahouse girl na ma boymaid hivi lini hao wakawa jamaa zenu kuwaita ndugu?? Mnapotoka kwenda kazini msiwaamini fuatilieni watoto wanateswa, wanabakwa na kulawitiwa.

Huyu mpelekeni polisi huo ni unyanyasaji kama mmemleta ili mumuozesha kaeni nalo huyu bint atapasuliwa na mimba sijui utakuja humu jf nadhani utakuwa na huzuni au Furaha?
hacha kubwabwaja soma uzi vzur, huyo si bint wake ni mfanyakaz wake tu, isitoshe inaonyesha hao wafanyakazi wanapendana kwa dhati na wamepanga wagegedane baada y kuoana na ndiomana uyo kidume anaichunga bikra ya mpenzi wake na pia hacha kufuru wafanyakazi wa ndani wape haki na thamani km ndugu zako wengine, eti husiwaamin wanaweza wakakuzuru!, kwani hata ndugu yako w damu hawez kukuzuru?,
mtoa mada mi nakushauri wawekeni chini muwaeleze, mujue mipango yao km wamepanga waoane basi wasaidieni watimize malengo yao na km kwel mna moyo, basi wafungulien hata biashara kumbuka kutoa n moyo. wasaidien watimize malengo yao.
 
Habarini wanajamvi,

Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu,wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu. Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendea na Hg, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.

Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.

Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.

Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.

Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!
Nna wasi wasi unampenda houseboy!! Kuwa makini.
 
Jamaa naye ana moyo anakaguwa tu afumui shauri yake
 
sasa unaogopa niini? wacha ikae hapo mpaka utakapomuna na mr naye na beki 3 hahaha
 
Acha bwana kama hamdhuru watoto haya kuhusu .. wao ni binadamu na wana hisia kama wengine
 
Ingekuwa amemkagua mwanao hapo sawa ila wao watu wazima waache tu buanaaa
 
Back
Top Bottom