Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Tatizo liko wapi mkuu? Usiwademoralize, waache wapige kazi vijana. Mkiwaondoa hao kama unavyowaza au kuwagomea ni vigumu kupata wafanyakazi kama hao! Hata hivyo hakuna ubaya kama anamkagua tu, inaonesha anampenda na pengine atamuoa!!! Fanya kama hujui kitu, haipaswi kukuuma!!! Nao ni binaadamu wana matamanio pia.
Nikweli uwenda wana malengo asinge kuwa na malengo nae angesha mninihi iwachen iyo camera.
 
Ndo kusema mvumilivu hula MBIVU...subiri ngoja UVIMBIWE.... uanze part II ya movie
 
Kwa hiyo unaonaje? Mimi naunga mkono mapenzi yao ila atakaguaje mwenzie bikira wakati wanakuwa wote hapo nyumbani? Kama ana wasiwasi angekuwa anamsindikiza sokoni. Camera wengi tumeweka sabau ya matendo nyuma ya pazia hata mimi ninayo lakini mlangoni tu.
Makubaliano yao Kama yeye anapenda kukaguliwa sawa haina tatizo maana ndio akili zinavyowatuma lakini sizani Kama unaweza pima kisima kwa macho
 
Habarini wanajamvi,

Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu, wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu.

Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendewa na wasichana wa kazi, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.

Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.

Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.

Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.

Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!
Acheni wakatane kiu..
Hakuna namna
 
Tuwekee hizo video

Jengine chukua hatua haraka kabla hio experiment kuhamia kwa watoto wako.

Usiwafukuze, mwiteni kijana muulize ni kwa nini anafanya hivyo, hata kama wataowana lkn hawana haki na ni kosa kufanya huo uchafu ndani kwako.

Jengine umechukua responsible kwa dada wa kazi, hivyo maisha yake yako mikononi kwako.

Haha halafu mumeo kumbe ana enjoying na hio movie.
 
Kazi wanafanya vizuri
WafAnyakazi wangapii hupendana na koana wakiwa wanafanya kazi ofisi moja
Wachawaoane
 
Habarini wanajamvi,

Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu, wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu.

Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendewa na wasichana wa kazi, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.

Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.

Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.

Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.

Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!
Hao wanapendana bhna waacheni na mapenzi yao
Kama hawafanyi wanalindana bikra zao inamaanisha wana future
Na kaz wanafanya vzr maana wanafraha kufanya kaz apo
Ukiwachokonoa wasitishe bas utegemee kaz kudorola na hata amani kupungua nyumbani

Elewa2 kuwa wanafanya kwa hihali ata wewe unavyofanya na mr ako mnafanya kwa hiari
Ko hamuwez kuwa linda kila cku hao nao watakuwa na familia zao baadae
 
Bint yako anamiaka mingapi? Maana kama ameshakuwa na akili kuvulishwa nguo ninyi mnaona jambo la kawaida au na ninyi wazinzi!!??. Kemeeni fukuzeni.

Huwezi jua kwa nn mume wako anachulia poa

Mi nashangaa mlio na mahouse girl na ma boymaid hivi lini hao wakawa jamaa zenu kuwaita ndugu?? Mnapotoka kwenda kazini msiwaamini fuatilieni watoto wanateswa, wanabakwa na kulawitiwa.

Huyu mpelekeni polisi huo ni unyanyasaji kama mmemleta ili mumuozesha kaeni nalo huyu bint atapasuliwa na mimba sijui utakuja humu jf nadhani utakuwa na huzuni au Furaha?
Kwani kasema ni watoto zake
Hao ni house girl baba
 
Huenda hakuamini.

Ukute nawewe una mmendea huyo Dada jamaa nae ni mwanadamu anapata wivu eti....
 
Mwambie mmeo aitoe hiyo bikilo faster.

Kama huwezi kumwambia, naomba unisaidie namba ya huyo housegirl.
 
Hio ndio maana halisi ya kamera unatakiwa uwe na ngozi ngumu ya kuona mambo na kama hayakudhuru moja kwa moja ,unayasolve kistaili mfano Kaa na dada mpe somo kuhusu mahusiano na kujieshimu na baba atoke na house boy nae ampe somo la mahusiano na mahusiano kazini etc mtaweka sawa na maisha yataendelea
 
Back
Top Bottom