Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Mme wako ana akili sana. Waache tu ilimradi kazi zenu wanafanya vizuri
 
Bint yako anamiaka mingapi? Maana kama ameshakuwa na akili kuvulishwa nguo ninyi mnaona jambo la kawaida au na ninyi wazinzi!!??. Kemeeni fukuzeni.
Daaaah ndiyo maana mwalimu mmoja lakini wanafunzi wengine wanapata A, wengine B na wengine F
 
Back
Top Bottom