Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Habarini wanajamvi,

Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu,wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu. Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendea na Hg, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.

Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.

Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.

Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.

Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!
Timiza ndoto zao wasaidie waoane !
 
Wakati mwingine nahisi ni mimi tu ndo nakaa Mwananyamala nyumba ya kupanga JF nzima
Mkuu wala usihofu !kwakuwa tuna majina ya kuigiza am sure wengi eetu humu hara maisha yetu ya humu ni fantasy tu ndio maana utakuta mtu post yake ya leo iko contradictory na post zake za nyuma mpaka unadhani watu tofauti au jinsia mbili tofauti
 
Mkuu wala usihofu !kwakuwa tuna majina ya kuigiza am sure wengi eetu humu hara maisha yetu ya humu ni fantasy tu ndio maana utakuta mtu post yake ya leo iko contradictory na post zake za nyuma mpaka unadhani watu tofauti au jinsia mbili tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah na kweli
 
Kwann mumeo alikua anakataza usione???? Mjanjaaaaa alitaka aitoe yy hio bikira kinyemela. Shauri zako we kaa hivohivo[emoji23]
 
Kwann mumeo alikua anakataza usione???? Mjanjaaaaa alitaka aitoe yy hio bikira kinyemela. Shauri zako we kaa hivohivo[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ashaitoa si anaenda kuazima tu au anaFuta kakipande
 
Sijaona tatizo lolote hapa
-hao sio ndugu
-hao sio jinsia moja
-hao wanafanya kazi zao vizuri
-hawakaguani kitandani mwako
Ni binadamu wenye matamanio kama wengine waache waendelee hasa kama hawafanyi yao mbele za watoto

The thing is, Mr. atatamani tu akate utepe mwenyewe.....
emoji3.png
emoji3.png
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ndio maana unaona hataki wife ajue kwamba hua anakong'otea movie, alaf kila anapoangalia, inaacha kitu flani kwenye akili yake, anaendelea kumthaminisha. Kitakachotokea kijana atafukuzwa kazi kisha mzee mzima ajiweke. Itakua ni kama kumalizia mchezo tu kwa sababu ki uhalisia ameshazini nae kwenye akili yake. Ndio maana tunashauriwa kuchunga sana tunacholisha akili na miili yetu. You are what you consume (Mentally na Physically).
 
Sasa cha ajabu kipi hapa ? Ingekuwa house boy anamkagua panya hapo ningekuelewa
 
Mkanye kwa ukali huyo house boy. Hg pia kwa upande wake pia. Ukinyamaza watatiana mimba na utawakosa wote, wachukulie km watoto wako plzz.
haisaidii,kama mtoto wako mwenyewe huwezi kuzuia asitiwe,itakuwa housegirl na houseboy?,
 
Utoto bwana ni shida sana. Inaonekana mtoa mada ni mtoto kiumri, yeye si ana mume ambae anamalizia nyege zake je hao nao hawana hizo nyege tena jinsia mbili tofauti, Duuuh mama hapo umechemka. Ushauri ni kama alivyoamua huyo mume wako.
 
mr nae kwanini aipende hio movie?? asije akamuova take house boy anyway just thinking kama vipi hio camera uwe na control nayo wewe wanaume wameumbiwa udhaifu kila siku anaangalia huo uke wa housgirl unavyokaguliwa shetan nae yuko around
 
Siku mume wako akiendelea kuvutiwa na ukaguzi bas ataenda akague mwenyewe hyo bikira na kifuatacho utajionea.
 
Wanawake samtym ni watu wa ajabu sana...
Yeye mmeo hakukambia chochote kuhusu hao wafanykaz, akaamua kusubiri kwanza!..
Wewe kwa kiherehere chako unakuja kuleta huku uliyoyaona, ndio maana samtym wanaune hawapendi kabisa kuwashirikisha wanawake kwenye mambo yao, maana itafika mahali mwanamke lazima aharibu...
 
Inaelekea huyo mkaka anamjali kweli huyo mdada... Adi anamkagua badala ya kumla!
Futeni hizo video, hiyo camera ikishikwa na mtu mwenye akili mbovu mtazikuta hizo videos kwenye internet.
 
Back
Top Bottom