Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Nimefunga camera nyumbani, najuta ninachokiona

Habarini wanajamvi,

Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu,wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu. Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendea na Hg, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.

Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.

Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.

Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.

Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!
Chochote utakachowafanya, fahamu kwmb ukiamua kumuondoa mmoja, possibly mwngn nae akaondoka kma kweli wote wanapendana. Halafu si jamaa anakagua tu mali zake bila kufanya chochote, tatizo liko wapi mkuu?? Au labda anahisi baba mwenye nyumba anajisevia? Yawezekana binti huwa anapigwa biti kwann baba mwenye nyumba anamuangalia sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Binadamu bwana!! House girl akichukua Mumeo unalalama, haya kaamua kuchukua house boy bado tu unalakama? Hiv yy kila siku asikie miguno tu chumbani kwko unadhan ye hapati ny********g
 
Mkanye kwa ukali huyo house boy. Hg pia kwa upande wake pia. Ukinyamaza watatiana mimba na utawakosa wote, wachukulie km watoto wako plzz.
kwani wakitiana mimba kuna ubaya gan? hao watu hawawezi kuzeekea hapo kisa wanafanya kaz ipo siku watakua na maisha yao so haina haja ya kuwaingilia kwenye maisha yao.
 
mkaguaji ana moyo wa chuma!ni wachache hapa tz waliobaki ila siamin sana
 
Kama lengo la kufunga camera lilikua kutambua kama watoto wana nyanyaswa na ukathibitisha kuwa wako salama, nashauri uiondoe iyo Camera maana ipo siku itakuliza inaonyesha baba amevutiwa na video anazoziona hasa zoezi zima la ukaguzi
 
Umesoma story au unatoa kichwani mwako?
Story nimesoma vizuri najua Kama hao maid bado hawajaanza kunjunjana ipo siku matamanio yatawazidi uwezo kwa iyo hawa maboss wasiwaharibie mapema Kila siku akague tu ipo siku kichwa cha chini kitafanya kazi ndipo shetani atapewa ubaya tu
 
Bint yako anamiaka mingapi? Maana kama ameshakuwa na akili kuvulishwa nguo ninyi mnaona jambo la kawaida au na ninyi wazinzi!!??. Kemeeni fukuzeni.

Huwezi jua kwa nn mume wako anachulia poa

Mi nashangaa mlio na mahouse girl na ma boymaid hivi lini hao wakawa jamaa zenu kuwaita ndugu?? Mnapotoka kwenda kazini msiwaamini fuatilieni watoto wanateswa, wanabakwa na kulawitiwa.

Huyu mpelekeni polisi huo ni unyanyasaji kama mmemleta ili mumuozesha kaeni nalo huyu bint atapasuliwa na mimba sijui utakuja humu jf nadhani utakuwa na huzuni au Furaha?
Hii ni dalili ya roho mbaya pamoja na unyanyapaa. Lkn kumbuka hakuna binadam bora zaidi ya mwingine
 
Story nimesoma vizuri najua Kama hao maid bado hawajaanza kunjunjana ipo siku matamanio yatawazidi uwezo kwa iyo hawa maboss wasiwaharibie mapema Kila siku akague tu ipo siku kichwa cha chini kitafanya kazi ndipo shetani atapewa ubaya tu
Kwa hiyo unaonaje? Mimi naunga mkono mapenzi yao ila atakaguaje mwenzie bikira wakati wanakuwa wote hapo nyumbani? Kama ana wasiwasi angekuwa anamsindikiza sokoni. Camera wengi tumeweka sabau ya matendo nyuma ya pazia hata mimi ninayo lakini mlangoni tu.
 
Labda ana wasiwasi faza haus anakula mzigo. Huyo dada aangalie pia nyendo za jamaa ake, labda hausboy anaonaga dingi anamkonyeza haus gal.
 
Msiikatishe. Chukueni matukio hadi mwisho halafu mtawaambia hao vijana mnataka mfanye biashara ya filum yao. Itawasaidia kuwaongezea kipato wakianza maisha.
Hahaha dah noma nahic we utakua wa kwanz kununua
 
Nyege ni zao nyie zawahusu nini na je ukiangalia mpaka mwisho ukaona mautundu yaliyomo humo na nyie si ndio mtajibebisha nao kila mmja na wakati wake?
 
Daaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya ni mawzo mgando walaaahi
Msiikatishe. Chukueni matukio hadi mwisho halafu mtawaambia hao vijana mnataka mfanye biashara ya filum yao. Itawasaidia kuwaongezea kipato wakianza maisha.
 
Habarini wanajamvi,

Mwenzenu nilishauriwa kufunga camera home kwa ajili ya ulinzi kwa watoto, badala yake nilichokiona ndio kimenileta hapa. Kwa mda mrefu sasa karibia miaka 3 nipo na housegirl huyu na shambaboy huyuhuyu, wanafanya kazi vizuri kiasi kwamba wamekuwa ndugu.

Mwaka jana mwezi wa saba ilipostiwa video moja ya ukatili wa watoto wanaotendewa na wasichana wa kazi, basi kwa ushawishi wa rafiki mimi na mume wangu tukaamua kufunga camera.

Sikuwa najua kuioperate wala jinsi ya kuangalia. Mr. hakunifundisha, basi kwa ushamba wangu sikuhangaika nilimuachia Mr afuatilie. Kila nikimuuliza anasema hamna tatizo, basi nikasema kama hamna tatizo tuitoe alikataa kata kata.

Leo jioni niliporudi kazini nikaamua kuichokonoa, ndipo nilipoona video zilizokua saved. Kumbe huyu houseboy anamkagua uke huyu binti kila siku kuona kama bikira yake imetolewa maana anampenda tukiondoka anamwita mke wangu.

Sasa nikapigwa butwaa na kushangaa kwa sauti ndio Mr anaingia ndani na kunikuta. Amesema tuiache tuone watakapoishia ila mimi naona sio utu kabisa.

Mnanishaurije wapendwa? Maana hata sijui la kufanya!
Nina wasiwasi na mr anapenda kufanya auditing ya ukaguzi kama umeenda vzr. Si unajua kuchunguliabpapuchi wakati inakaguliwa... Ila da... Kupiga chabo rahaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana kila post naona maisha mazuri
Kuwa na amani tu!ukitaka kujua ukweli wafuatilie haohao "maisha safi" kwenye post za hali ngumu ya maisha wanavyolalamika utatamani wewe wa tandale utoe kitu uwape wapunguze makali ya maisha!
 
Bint yako anamiaka mingapi? Maana kama ameshakuwa na akili kuvulishwa nguo ninyi mnaona jambo la kawaida au na ninyi wazinzi!!??. Kemeeni fukuzeni.

Huwezi jua kwa nn mume wako anachulia poa

Mi nashangaa mlio na mahouse girl na ma boymaid hivi lini hao wakawa jamaa zenu kuwaita ndugu?? Mnapotoka kwenda kazini msiwaamini fuatilieni watoto wanateswa, wanabakwa na kulawitiwa.

Huyu mpelekeni polisi huo ni unyanyasaji kama mmemleta ili mumuozesha kaeni nalo huyu bint atapasuliwa na mimba sijui utakuja humu jf nadhani utakuwa na huzuni au Furaha?
Siajabu yule Binti kalazimishwa na katishwa kwamba asiseme na anaogopa kusema maana Binti angekuwa mkubwa wangekwisha pandana kwanini waendelee kuangalia upuuzi anaoufanya huyo shamba boy. Hivi angekuwa mtoto wao wa kuzaa wangevumilia?
 
Kama kazi zenu wanawafanyia vizur we shida yako nini?

Watu wengine mna roho za korosho kweli.
 
Back
Top Bottom