Nimefiwa na Mama Mzazi

pole sana mkuu mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu,tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
 
...pole sana ndugu yangu!Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu kwako na familia kwa ujumla!
 
Pole sana X-PASTER,ndugu na jamaa zako. Mungu awape ustahimilivu katika wakti huu mgumu kwenu.

Apumzike kwa amani.
 
Pole sana Mkuu X-Paster, Mwenyezi mungu atakupa subra..

Hakika sisi sote ni wake, na kwake ndio marejeo yetu
 
"Innah Lillah wa Innallilah Rajyun"

Mkuu X-Paster.... Pole saana na Msiba
Mungu akupe Imani na Amani katika kipindi
choote cha Msiba.
 
Mjomba X-PASTER pole sana. Mwenyezi Mungu akupe nguvu na ampumzishe mama mahali pema peponi.
 
pole sana. Mungu Mwenyezi amlaze Mama mahali pema peponi InshaALLAH. Mungu akupe subira katika wakati huu mgumu. Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
Back
Top Bottom