Nimefiwa na Mama Mzazi

Pole sana X-Paster kwa kupoteza mzazi...apumzike kwa amani
 
pole sana mkuu,sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi...................................
 
Pole sana X, kweli sie wote wa mola na kwake tutarejea, Mungu akupatie faraja na amani kipindi hiki kigumu
 
Assalamu Alaikum

Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums

Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo, na Insha'Allah maziko yatafanyika leo jioni.
___
Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Mama yangu na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake

Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Utulipe wafiwa kwa msiba huu na utupe badili yake bora kuliko huo na utukutanishe tena peponi Insha'Allah
Pole sana mkuu dah!
Yani pole sana,msiba upo wapi?ni hapa Dar?na mazishi lini?
 
Assalamu Alaikum

Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums

Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo, na Insha'Allah maziko yatafanyika leo jioni.
___
“Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Mama yangu na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake”

“Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Utulipe wafiwa kwa msiba huu na utupe badili yake bora kuliko huo na utukutanishe tena peponi Insha'Allah”

X-Paster,

Please accept my hearfelt condolences for the loss of your beloved mother.

Tiba
 
Mimi huwa nashangaa watu kulike hata tangazo la msiba. Maana yake nini? Pole mkuu. Mungu akupe nguvu kipindi hichi kigumu
 
Kaka Pole sana kwa msiba huu mkubwa. Mwenyezi MUNGU amhifadhi katika mwanga wa milele. Amen.
 
Usiogope mkuu! Wote tuta mfuata tu. Nikawaida. Mungu akupe uvumilivu.
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'oon, I am sorry to hear about the death of your mother.

I ask Allaah to give you patience at this time, dont feel negative about what has happened.

This is all Allah's decree.
 
Assalamu Alaikum

Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums

Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo, na Insha'Allah maziko yatafanyika leo jioni.
___
“Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Mama yangu na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake”

“Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Utulipe wafiwa kwa msiba huu na utupe badili yake bora kuliko huo na utukutanishe tena peponi Insha'Allah”

Mkuu pole sana kwa msiba mkubwa wa mama.Tuko pamoja nawe daima!
 
Back
Top Bottom