Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

Wewe ni mjuaji that why UMEPIGWA Samsung original haivunjiki kioo kifala

now natumia Note 10 ilianguka kutoka juu ya jokofu accer kubwa mpaka kwenye tiles lkn haikuvunjika hata kidogo

pia mdogo wangu nilimnunulia Samsung J5 prime toka 2018 mwanzoni mpaka leo haina mchubuko hata kidogo kwenye kioo na huwa inaiangusha mara nyingi tu (kutoka juu ya kitanda mpaka chini)
Nilivunja j5 yangu kizembe kabisa. Kila nikitaka kununua kioo naambiwa 120k afu Sina uhakika Kama kitakuwa og. Navumilia tu nizichange nikanunue nyingine ya saraja la juu zaidi. Ila siwezi kuhama Samsung
 
Mnaonunua simu kariakoo, makumbusho mnaambiwa mpya wengi mnapigwa.

Sio kwamba ni feki bali zinajulikana kama refurbs.

Yaani simu original zilizokua na matatizo mbalimbali zikatengenezwa kwa kubadilishwa parts zenye shida.

Refurbs hazina ubaya ila tatizo ni kwamba refurbs zote au asilimia 99 zinatoka china.

Mchina anakusanya simu zilizoharibika ana repair na parts za hovyo, kuanzia vioo, camera, battery, na component nyinginezo lengo ni kutumia gharama ndogo kadri awezavyo kisha zinakuwa packed kwenye mabox yake pamoja na chargers, earphone manual, full sealed ukiikuta kariakoo unaambiwa mpya.

Ukitaka samsung, mpya isiyo na longolongo nenda kwa samsung stores au authorised dealers wale wanazo brand new, ila tu bei zimesimamia ukucha inabidi uvumilie kwenye bei.

Chukua hii.
Vip Samsung stores za kariakoo pale China plaza?
 
Kumbe haka ka A2 kangu niendelee kukatunza poa
 
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya Samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.

Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.

Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.

Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii TECNO yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watu wanazichukulia POA Tecno na infix
 
Mnaonunua simu kariakoo, makumbusho mnaambiwa mpya wengi mnapigwa.

Sio kwamba ni feki bali zinajulikana kama refurbs.

Yaani simu original zilizokua na matatizo mbalimbali zikatengenezwa kwa kubadilishwa parts zenye shida.

Refurbs hazina ubaya ila tatizo ni kwamba refurbs zote au asilimia 99 zinatoka china.

Mchina anakusanya simu zilizoharibika ana repair na parts za hovyo, kuanzia vioo, camera, battery, na component nyinginezo lengo ni kutumia gharama ndogo kadri awezavyo kisha zinakuwa packed kwenye mabox yake pamoja na chargers, earphone manual, full sealed ukiikuta kariakoo unaambiwa mpya.

Ukitaka samsung, mpya isiyo na longolongo nenda kwa samsung stores au authorised dealers wale wanazo brand new, ila tu bei zimesimamia ukucha inabidi uvumilie kwenye bei.

Chukua hii.
Sawa ila pia kuepuka hili ni bora kuchukua simu wakati ikitoka kuliko kununua simu imetoka miaka miwili huko
 
Kila kitu cha Samsung siyo imara. Nina TV ya Panasonic mwaka Wa 15 bado inadunda. Nikanunua TV ya Samsung 43" imedumu miaka 6 imekufa na hats repair za ghali sana. Nilinunua fridge ya LG Leo ninayo mwaka Wa 12 na inadunda. Nikanunua fridge ya Samsung imefanya Kazi miaka 5 imekufa . Nimeazimia kifaa chochote cha south Korea sinunui tens hawna vifaa imara kama Japan au uingereza au EU kwa jumla. Kama kuna waajiriwa Wa kampuni za Korea mnisamehe sins nia mbaya kuwsharibia Biashara ,lengo ni kushare experience.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu kwanini ulikuwa unanunua nyingne mpya akati hizo za awali ni nzima? Afu kwanini Samsung wanaongoza kwa mauzo duniani kote km kweli ni wabovu ivo?
 
Daah ufundi na kioo 370,000 ambayo unapata Infinix 10... Nyerere alipenda kusema kupanga ni kuchagua [emoji23] [emoji23]
 
Hio ndio Samsung bana. Kuna rafiki yangu simu ilivunjikia Ulaya akaja itengenezea bongo. Maana kule cost ilikua zaidi ya 1M ya kibongo. Akaja weka kioo kwa laki 6 bongo.
Ukiweka na nauli ya ndege kuja na kurudi?
 
Feki kivipi? Sio feki, nilinunua Milion 1.1
Hapo unapata boxer used nzuriii kwa hiyo 1.1milion na kuvuna kipande cha 10,000 daily, kupanga ni kuchagua [emoji23] [emoji23]
 
Nauza cm ya Tecno comon11 laki2 tu bado mpya Unakuja kuchukua office hapa
IMG_20201207_141657_7.jpg
IMG_20201207_141640_8.jpg
IMG_20201207_141632_0.jpg
 
"SAMSUNG IS AS GOOD AS LONG AS IT HASN'T A BROKEN SCREEN"[emoji13]

Ikipasuka ni msiba wakati vioo vya tecno ni elfu 50 tu your are back in business.
UKWELI NI KWAMBA HIYO SIMU ALIYONUNUA NI ORIGINAL KABISA! ILA SAMSUNG KAMA ULIVYOSEMA NI SIMU NZURI SANA,TATIZO IKIPASUKA KIOO HAPO NDIO MSIBA UNAANZIA

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom