Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

"SAMSUNG IS AS GOOD AS LONG AS IT HASN'T A BROKEN SCREEN"[emoji13]

Ikipasuka ni msiba wakati vioo vya tecno ni elfu 50 tu your are back in business.
Ila hizo tecno ni law quality. Hazilawii kucheza display na kupoteza contact numbers
 
Dada sikia ulipata fake s9, nina s6 plus inadunda mpaka leo, vioo vya og vipo kama plastic hivi havivunjiki

Sasa nina note 10, pia iko hivo hivo

Sihami samsung kabosa
 
Mkuu acha kufananisha Samsung na vitu vya ajabu. Hivi uko serious kweli? Kwanza inatia mashaka mtu kuhama tecno hadi flagship ya Samsung. Siku nyingne ukitaka kununua kitu km huna uzoefu omba msaada kwa wazoefu. Hapa natype na Samsung ya 4 kumiliki na sioni pa kwenda.
Kitu Super Amoled+ display, acha masihara mkuu ila nlikuwa nachomekea tu.
Unachikiona Samsung hakioni kwenye Vivo?
Unachikiona Samsung hakioni kwenye infinix?
Kweli kila muwambaji ngozi huvutia kwake. Nitajie kinachofanyika Samsung ambacho ni tofauti kabisa na kwengineko.
 
Kawaida hyo.samsung ndo SIMU.
Pole sana.ukimuona mtu anatumia Samsung muheshimu
 
Kioo cha S9+ bila bdoy yake ndio 350k
Ambacho hakiwezi ku fit in vizuri kwenye body.
Kioo chenye mother body yake 450k ambacho unaamisha tuu.
Pole sana Samsung ni kioo
Ndio niliambiwa hivyo hivyo
 
Wala sio feki , ilivunjika bahati mbaya
Wewe ni mjuaji that why UMEPIGWA Samsung original haivunjiki kioo kifala

now natumia Note 10 ilianguka kutoka juu ya jokofu accer kubwa mpaka kwenye tiles lkn haikuvunjika hata kidogo

pia mdogo wangu nilimnunulia Samsung J5 prime toka 2018 mwanzoni mpaka leo haina mchubuko hata kidogo kwenye kioo na huwa inaiangusha mara nyingi tu (kutoka juu ya kitanda mpaka chini)
 
Wewe ni mjuaji that why UMEPIGWA Samsung original haivunjiki kioo kifala

now natumia Note 10 ilianguka kutoka juu ya jokofu accer kubwa mpaka kwenye tiles lkn haikuvunjika hata kidogo

pia mdogo wangu nilimnunulia Samsung J5 prime toka 2018 mwanzoni mpaka leo haina mchubuko hata kidogo kwenye kioo na huwa inaiangusha mara nyingi tu (kutoka juu ya kitanda mpaka chini)
Yaani kuanguka kutoka juu ya kitanda. Eti umenunulia mdogo wako. Ndiyo kunakufanya uongee lugha ya kubeza namna hii. Unafahamu aliiangusha katika mazingira gani, nimeziona samsung halisi zimevunjika vioo. Punguza ukali wa maneno na kujigamba. Kila mtu ana mazingira yake, jifunze hilo
 
Kwa kodi wanayolipa Mlimani ulitaka bei iwe sawa na Kkoo?

Ukinunua kitu Mlimani ni umenunua ule ufahari wa eneo ila ubora ni ule ule.
Mimi nimekuelewa vema. Jambo la muhimu kwetu ni kuwa waangalifu tu kwenye manunuzi yetu. Unakwenda Kariakoo unanunua suti kwa Sh.150,000.00, kitamba hicho hicho, mitaa ya Posta, Mlimani City, utanunua kwa Sh.300,000.00 then life goes on. Manunuzi ni gamble
 
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.

Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.

Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.

Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii mitecno yetu
Mkuu unanunuaje simu yenye thamani ya milion na kitu halafu ushindwe ifanyia service ya lak tatu ikitokea imepata hitilafu? Wewe ni sawa na wale watu wananunua V8 halafu wanalalamika inakunywa wese kuliko passo. Buy what you can afford usijitese binti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom