Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya Samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.

Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.

Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.

Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii TECNO yangu
Ndiyo maana hauishi Njiro,hauishi Masaki,hauishi Capri point..maisha yako ni ya Tecno ndugu yangu usilalamike,endelea kutafuta kwa bidii MUNGU atakusaidia badala ya kulalamika hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya Samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.

Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.

Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.

Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii TECNO yangu
Pole sana ,actually vioo vya samsung vipo expensive sana inabdi uweke Protector ,tafuta A series samsung utaenjoy hata haziumizi kichwa kama Tecno au infinix
 
Nunua simu moja inaitwa catapilar,hutojuta my dear ile hata utungulie embe ni wewe tu.
Faza, hizi simu bongo zinapatikana au mpaka uagizie? Niliwahi kumuona nayo Engineer mmoja hivi nikamuuliza alikoipata akanambia wao walipewa ofisini kwao hiyo ilikuwa 2014
 
Nilivunja j5 yangu kizembe kabisa. Kila nikitaka kununua kioo naambiwa 120k afu Sina uhakika Kama kitakuwa og. Navumilia tu nizichange nikanunue nyingine ya saraja la juu zaidi. Ila siwezi kuhama Samsung
Mkuu hiyo ni J5 prime au pro? Au ni j5 plain? Kama ni tajwa hapo juu, nakuahidi mbele ya wanajukwaa, ninaweza kukubadilishia kioo og kabisa na kama ukiona utofauti niko radhi kulipa simu mpya.
 
Ofisi yangu ya kazi ipo kibaha ila kariakoo kuna duka nalochukua vitu og, naweza kukubadilishia palepale.
 
Faza, hizi simu bongo zinapatikana au mpaka uagizie? Niliwahi kumuona nayo Engineer mmoja hivi nikamuuliza alikoipata akanambia wao walipewa ofisini kwao hiyo ilikuwa 2014
hii mpaka uagize,mara ya kwanza namimi kuiona 2015,alikuwa nayo jamaa yangu mmoja,yeye alinunua kkoo.ila kwa saaa hazipo mpaka uagize.
 
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya Samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.

Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.

Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.

Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii TECNO yangu

Kioo ni kioo tu hata kiwe imara vipi kitabaki kuwa kioo tu. Kwahiyo kikipasuka usishangae.
 
Yah vya Kariakoo ni feki kweli. Haziwezi kuwa true Amoleds.
Umenikumbusha HUAWEI yangu Mate 7.ilianza kuzingua "touch"nikaipeleka kwa fundi kioo hakuna.Nikaambia MZA naweza pata lakini wapi.Nikaambiwa Dar vyapatikana lakini hadi leo porojo: mara piga picha utume,tuma 100,000 tukutumie n.k. Nimeipaki!
 
Tukutane pm mkuu kama hutojali
 
Samsung ni display, ikivunjika imekula kwako. Ila Samsung ndio my best phone ever, hasa note series.
Kwa kweli
Samsung vioo vyake ni noma
Nina A50 na C9 pro nimeweka sandukuni

Bei ya display ni headache
 
Kioo cha S9+ bila bdoy yake ndio 350k
Ambacho hakiwezi ku fit in vizuri kwenye body.
Kioo chenye mother body yake 450k ambacho unaamisha tuu.
Pole sana Samsung ni kioo
Kweli
Replacement ya Samsung display ukiifanya kwa kioo peke yake imekula kwako. Body na kioo vinahusu
 
Kioo cha samsung kitu quality sio kama kioo cha tecno ........kabla hujanunua unatakiwa uelewe na gharama za ziada pia kama utapata majanga....na sio Samsung tu ni simu zote zenye vioo vya uhakika achana na hizi screen za wachina kioo ndo bei ya simu kama ilivyo kioo cha tv hizi za makampuni makubwa ndo bei ya tv yenyewe
Matoleo ya A series yana vioo vibovu hatareee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom