hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,911
Kama jinsi mnavyo fahamu simu original ni bei sana na wafanya biashara wanapo amua kufanya biashara wanaangalia ni wapi kwenye urahisi.
Mm kama fundi nimeweza kugundua kwamba simu nyingi ambazo zipo sokoni tanzania ni original saketi tu lakini vitu vingine vyote vinakua havina ubora ule unaotakiwa kuwa kwenye simu original.
Na hizi simu mapungufu yake ni kwamba kwanza
Zinaingiza vumbi kiurahisi pili zinaingiza maji kiurahisi
Na tatu hizi simu ni rahisi sana kupasuka touch pamoja kioo na grass ya nyuma.
Hata chaji yenyewe huwa hazikai sawa na simu ile yenyewe iliyotoka kiwandani.
Hizi simu ni za namna gani? hiz simu zinaitwa simu original walizo repair. kwamaana ya kwamba hizi simu ni zile mtu alinunua dukani huko mpya akaitumia akaona inamsumbua au ilipasusuka kioo kwahiyo china kuna makampuni yanadili na hizi simu sio kwamba labda simu ikiharibika kama ni samsung inatarudishwa samsung au iphone nk.
Na hizo simu mara nyingi zina zikisha fanyiwa matengenezo zinabandikwa na mastika mengi mengi ya kichina kwenye mfuniko au kwene sehemu ya kufungia nati.
Ukikutana na simu ya namna hiyo unaweza ukawa unazichukia simu original na ukaona ni bora utumie tecno au infinix kwa sababu infinix unapata ni mpya kama mpya. Na Unaikuta simu imewekwa ktk mazingira mazuri.
Kama mtu unataka simu original mpate jamaa anaye uza simu iriginal kutoka south kwa maana wale jamaa serikali yao ipo vizuri sana kuhusu kuingiza vitu fake. na ndio maana wao kila simu inayo ingia ingia south inakaguliwa vizuri sana kwa sababu wao bandarini nasikia maabara kwaajili ya kukagulia ubora wa vitu vinavyo ingia nchini mwao na simu nyingi lazima wazikipige nembo ya ICASA.
Au mtu kama unataka simu origanal kutoka nje agiza simu used ambayo labda unakuta kuta kule imetumika miezi mitatu na iwe ni ile ya grobal yani ambayo inatumika ulimwengu mzima.
Wasikuletee ile simu yenye 4g tu ili isije ikakusumbua network. kwa sababu afrika sehemu nyingi network hatuna network ya 4g Inatakiwa upate ile simu ambayo inasoma kuanzia 2g 3g na 4g
Tanzania watu wengi wameuziwa vitu ambavyo vipo chini ya kiwango kwa kutegemea tbs ipo. lakini toka tbs imezuia simu fake kuingia tanzania ukiangalia hamna kilicho badilika na kama simu fake ndio imekuwa kama ndio laana.
Na saizi kama unataka kununua kitu inatakiwa uwe makini sana.
Sent from my SM-G950F using Tapatalk