Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
Sponsor niachie My wangu
Tatizo la Itel,Huawei, Tecno na Infinix ni kukwama kwama, inakera sanaKama mtu ulikua unatumia tecno na infinix kisha ukahamia kwenye simu za samsung huwezi rudi nyuma tena, labda kama uchumi umekaa vibaya kidogo. Waliowahi kutumia hizi simu zote watakua wmenielewa.
Muhimu ni utunzaji ila samsung ni bab kubwa.
230k nayo Hela?
hahahahaa kweli kabisa mkuu....ninayo moja ina shida ya kioo tu nmesusa kuinunulia nilichokifanya nimenunua nyingine tu..Ndio shida ya kudandia gari kwa mbele,mm mwenyewe siipendi Samsung kwa sababu ya hiyo. Kioo unanunua simu kali Tecno au infinix!!!🤪
Yako haikuwa na kioo cha plastic, ikianguka hata toka ghorofani inadunda tu!! maana naona humu watu wanaandika vitu vingine vinaudhi sanaKiukweli mi nimegawa note 8 kwa mdogo wangu.ni nzuri hasa yaani double line,gb 128 na ram 6 finger print ipo pazuri sana na si ya kujionyesha kama hapa ndipo pa kuweka kidole.
ina iris scanner ,face lock na kadhalika.
camera brue yake ilikuwa ya ukweli.
pamoja na yote mazuri kioo kilipovunjika niliambiwa 700k.
Nikaiweka baadae yamenijia mawazo kuwa maisha yangu yoote ya simu kwa miaka hii 5 ya kazi sijawahi tumia simu zilizopita mikononi mwa mafundi.basi nikanunua j4+ .
mwaka huu hali imekuwa ngumu na j4+ imenizingua nimenunua infinix note 7.
Shida kubwa kamera sio sawa,front sio sawa,ila chaja ipo sana wala siwazi. kwani display Ake haili umeme mwingi ila faida yangu ni speaker ni boomsound kama zama zile za sony na htc.na sasa muda wote simu ipo mfuko wa shati na kuongea kwa speaker kama redio call na tunasikilizana vizuri sana kama zama zilebza 2017 za note 8.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nunua simu moja inaitwa catapilar,hutojuta my dear ile hata utungulie embe ni wewe tu.
Mimi nimeshangaa sana, wamekalia kusema fake fakeKhaaaaa Yani samsung kupasuka kioo ni Idhinisho la fake????
Maajabu haya, Cha ajabu unatoa fact eti yako uliiangushoa kutoka kitandani mpaka chini haikupasuka???
Hivi simu gani hio inapasuka katika height hioo?
Simu inaweza pasuka kioo katika mazingira yyt yale, kwa kutegemea
Angle iliyoangukia,
Surface in contact with...,
Height,
Sasa wewe umeangusha simu yako eti toka kitandani mpk sakafuni labda ikalala flat, unalinganisha na alieangusha toka usawa wa kifua mpk chini halafu kioo kika angukia Jiwe????
Sikia ww mm ni engineer kuna simu zinanunuliwa original kabisa wajanja wanachomoa kioo wanachpmeka kioo fake japo simu ni original na hii unakuta simu samsung s6 inauzwa laki 2 unapihwa bao na ukiangusha tu simu ndio basi kioo kinaharibika unaenda kuulizia bei ya kioo unasikia laki 3 wakat simu umenunua laki 2 na kule zile zengine copy ndio mbovu kabisa ogopa sn bidhaa kutoka china kwa hawa maagent uchwara mm simu nanunua samsung customer care kule ni uhakikaLabda kioo, kwa simu hapana sio fake, kwa sababu kuna kioo mahali nilikuta laki sita na nusu na kwingine laki tatu na nusu
Hapa unataka kusema nini boss?Sikia ww mm ni engineer kuna simu zinanunuliwa original kabisa wajanja wanachomoa kioo wanachpmeka kioo fake japo simu ni original na hii unakuta simu samsung s6 inauzwa laki 2 unapihwa bao na ukiangusha tu simu ndio basi kioo kinaharibika unaenda kuulizia bei ya kioo unasikia laki 3 wakat simu umenunua laki 2 na kule zile zengine copy ndio mbovu kabisa ogopa sn bidhaa kutoka china kwa hawa maagent uchwara mm simu nanunua samsung customer care kule ni uhakika
Mimi toka niingie ulimwengu huu ninamiss clear picha tu.za note 8 pamoja na uwezo wa kugawa screen kwa application 2.Mtu anaposema INFINIX au TECNO huwa zinakwama ni kama huwa simwelewi..nimetumia Tecno Phantom 6(Oled display)...na saiv natumia Infinix Hot9.(LCD display).na haijawahi sumbua..kikubwa mawasialano na wato tupo social media
Christine habari yako?Sa jmn tutajuaje og? Duh
Nisaidieni nataka Samsung
simu ipi ina camera kali?Mimi toka niingie ulimwengu huu ninamiss clear picha tu.za note 8 pamoja na uwezo wa kugawa screen kwa application 2.
😀😀 Hii kweli caterpillar
Nitumie inboxSimu moja la hatari sana.
Simu ya kiume!
Cat S41.
Niweke na picha?!