Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

Mnaonunua simu kariakoo, makumbusho mnaambiwa mpya wengi mnapigwa.

Sio kwamba ni feki bali zinajulikana kama refurbs.

Yaani simu original zilizokua na matatizo mbalimbali zikatengenezwa kwa kubadilishwa parts zenye shida.

Refurbs hazina ubaya ila tatizo ni kwamba refurbs zote au asilimia 99 zinatoka china.

Mchina anakusanya simu zilizoharibika ana repair na parts za hovyo, kuanzia vioo, camera, battery, na component nyinginezo lengo ni kutumia gharama ndogo kadri awezavyo kisha zinakuwa packed kwenye mabox yake pamoja na chargers, earphone manual, full sealed ukiikuta kariakoo unaambiwa mpya.

Ukitaka samsung, mpya isiyo na longolongo nenda kwa samsung stores au authorised dealers wale wanazo brand new, ila tu bei zimesimamia ukucha inabidi uvumilie kwenye bei.

Chukua hii.
Wapo maeneo gani
 
KUTANA NA KHADIJAA PISI KALI YA KWANZA KUJINUNULIA SIMU NA KUIPATA MAHALI LAKI TATU NA NUSU..
 
Kwa hiyo hela agiza simu nyingine,hata kwa laki 250 utaletewa simu nzuri kama A9 pro. Kama una mtu anaenda dubai mpe hiyo hela akakuletee hiyo simu. Used from UK. Zingine zinakuwa used from USA. Lakini muonekano wake ni mpya kabisa. Hapo unakosa tu chaja na vingine,inakuja tu simu yenyewe
 
Nitumie inbox

.
cat-s41-0.jpg
 
Mimi mwenyewe nimedondosha yangu leo asubuhi imepasuka kioo hapa nawaza nafanyaje
 
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya Samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.

Ilianza kunisumbua sana, hatimaye ikazima moja kwa moja. Inaonekana hata kioo chake hakiko imara.

Shida nilipokwenda kubadili kioo, Mungu wangu sikuamini , nilijua mafundi wanataka kunipiga, nimezunguka wee mpaka nikachoka, lakini bei ni ileile.

Mwisho nilipata mahali laki tatu na nusu, fundi 20 jumla 370,000/= . kwa usawa huu jamani mi naitoa wapi? Nimeichukia sana, sina hamu nayo tena. Kama ningejua mapema nisingenunua bora ningeendelea tu na hii TECNO yangu
Kila kitu cha Samsung siyo imara. Nina TV ya Panasonic mwaka Wa 15 bado inadunda. Nikanunua TV ya Samsung 43" imedumu miaka 6 imekufa na hats repair za ghali sana. Nilinunua fridge ya LG Leo ninayo mwaka Wa 12 na inadunda. Nikanunua fridge ya Samsung imefanya Kazi miaka 5 imekufa . Nimeazimia kifaa chochote cha south Korea sinunui tens hawna vifaa imara kama Japan au uingereza au EU kwa jumla. Kama kuna waajiriwa Wa kampuni za Korea mnisamehe sins nia mbaya kuwsharibia Biashara ,lengo ni kushare experience.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Nami wakuu natafuta kioo cha tv samsung inch 32 kimepasuka kabsa
 
Sikia ww mm ni engineer kuna simu zinanunuliwa original kabisa wajanja wanachomoa kioo wanachpmeka kioo fake japo simu ni original na hii unakuta simu samsung s6 inauzwa laki 2 unapihwa bao na ukiangusha tu simu ndio basi kioo kinaharibika unaenda kuulizia bei ya kioo unasikia laki 3 wakat simu umenunua laki 2 na kule zile zengine copy ndio mbovu kabisa ogopa sn bidhaa kutoka china kwa hawa maagent uchwara mm simu nanunua samsung customer care kule ni uhakika
Engineer vp demu wako kalio limekuwa kubwa? Kama bado kuna dawa hapa
 
hela za matakoni Samsung & iPhone sio za kununua

Unasahau kwamba kuna watu wanaishi maisha duni hata kununua kitochi hawawezi. Acha dharau kama umejaaliwa uwezo wa kumiliki vitu ghali. Usisahau kupanda unatumia nguvu nyingi ila kushuka unaweza hata kwa kuteleza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom