Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

H Hahahaha,nomaa mkuu.
 
Ushauri mzuri, Ndengaso Njoo some hapa, pengine utaondoka na kitu.
 
Hata hii ni sawa ila kwa alie hide msg content kwenye notification panel hutaweza kuona ujumbe wowote na wala msg imetoka kwa nani .
Kwani njia yako ni mpaka ushike simu ya mpenzi wako?
 
Hata hii ni sawa ila kwa alie hide msg content kwenye notification panel hutaweza kuona ujumbe wowote na wala msg imetoka kwa nani .
Kwani njia yako ni mpaka ushike simu ya mpenzi wako?
 
Mapo
Mapoti wa Bandari unamaanisha walinzi wa bandari?
 
Yatakurudia alafu utakuja kujua maumivu yake, inaumiza sana mwanaume mwenzio anapambania familia wewe unajiona kidume hta kazini unasingizia unaumwa usiende ili ule wake za watu, angalia kesho yako aisee
 
Angalia mizizi isikurudie maana huyo mtu pia anajipanga kwa ajiri yko
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…